Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Hawa ndio baadhi ya watangazaji Wa RTD, ninao wakumbuka:

  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati’ Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda

20. Dastan Tido Mhando

21. Mshindo Mkeyenge

22. Sara Dumba

Na yule alikuwa akitangaza mazungumzo baada ya habari nani? jina nimemsahau lakini nakumbuka kipande chake kimoja mpaka leo:

Binaadam wazima na faham zao huishi kama wanyama mwituni, ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea urefu wa makucha yake na ukali wa meno yake. Ubepari ni Uhasama, uhasama, uhasama.

Kweli tumetoka mbali.
 
mkuu huyo ni Jacob Tesha!Hapa tunajaribu kuchek memory zetu kama bado zipo au zimeathiriwa na mgao wa umeme!
 
Nawakumbuka watangazaji wa mpira wa miguu kipindi hicho, akina Omary Jongo (RIP), Ahmed Jongo na Charles Hillary. Du watu huko vijijini tulikuwa tunasubiri saa kumi jioni jumamosi mechi ianze umsikilizie mzee mwenyewe Omary Jongo.
 
Na yule alikuwa akitangaza mazungumzo baada ya habari nani? jina nimemsahau lakini nakumbuka kipande chake kimoja mpaka leo:

Binaadam wazima na faham zao huishi kama wanyama mwituni, ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea urefu wa makucha yake na ukali wa meno yake. Ubepari ni Uhasama, uhasama, uhasama.

Kweli tumetoka mbali.
Mazungumzo baada ya habari, walikuwa wanachukuwa simulizi kwenye vitabu vilivyokuwa vinaitwa."Darubini"

Vitabu Vya Darubini, navikumbuka vinne, ambavyo vilikuwa vikitolewa na TANU
  1. Unyonge wa Mwafrika.
  2. Vijiji Vya Ujamaa.
  3. Ujinga wa Mwafrika.
  4. Kazi ni Uhai.

Kuna baadhi ya masimulizi amabyo yalipatikana kwenye hivyo vitabu hivyo ila sina uhakika sana, kama sikosei ni:
  • Kautipe na utumbo wa kuku
  • Urembo wa ndonya
  • Kawambwa na kapu la karanga
  • Chai ya DC
 
Kais Musa Kais, Ramadhan Makoa Brother wa Kiluguru, Isa Ali Nandumbi, Joseph Ngilisho, Salum Mang'una Big, Haji Mkotopaje, na wengine wengi sana.
 
nawakumbuka Mohamed kiyaiyai,chesco mzee wa matunda,hasara tupu,da ni wengi!!
 
  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati' Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda
  20. Danstan Tido Mhando
  21. Mshindo Mkeyenge
  22. Sara Dumba
  23. Steven Makwaya. (not sure huyu kama si huyo wa namba 26).
  24. Chama Omari Matata
  25. Paul Sozigwa
  26. Steven Mlawa
  27. Kasanga Tumbo
 
Mazungumzo baada ya habari, walikuwa wanachukuwa simulizi kwenye vitabu vilivyokuwa vinaitwa."Darubini"

Vitabu Vya Darubini, navikumbuka vinne, ambavyo vilikuwa vikitolewa na TANU
  1. Unyonge wa Mwafrika.
  2. Vijiji Vya Ujamaa.
  3. Ujinga wa Mwafrika.
  4. Kazi ni Uhai.

Kuna baadhi ya masimulizi amabyo yalipatikana kwenye hivyo vitabu hivyo ila sina uhakika sana, kama sikosei ni:
  • Kautipe na utumbo wa kuku
  • Urembo wa ndonya
  • Kawambwa na kapu la karanga
  • Chai ya DC

Nimemkumbuka! mtangazaji wake alikuwa, Paul Sozigwa.
 
Nimemkumbuka! mtangazaji wake alikuwa, Paul Sozigwa.
Yawezekana, hapo kwenye watangazaji, jina namba 24. Chama Omari Matata, ni Mzee Othman Matata, alikuwa akitangaza Taarifa ya habari tu, na hakukaa sana.
 
Yawezekana, hapo kwenye watangazaji, jina namba 24. Chama Omari Matata, ni Mzee Othman Matata, alikuwa akitangaza Taarifa ya habari tu, na hakukaa sana.

Hapana ni tofauti hao. Ngoja niiongezee ile list yako kuna wengine nimewakumbuka.
 
Namkumbuka na mtangazaji TVZ wa mwanzo mwanzo, siku hizo huku kwetu hatuna station ya TV lakini tuliobahatika kuweka TV na ma antenna marefu tulikuwa tukishika TVZ enzi hizo, kulikuwa kuna mwanamke akisoma vizuri sana taarifa za habari, alinitamanisha siku hizo nikimaliza skuli nami niwe mtangazaji, simsahau akiitwa Fatma Mwalim, siku hizi yupo Dar pale Upanga mumewe ni mtunzi wa vitabu maarufu sana Adam Shafi.
 
Kuna mama mmoja alikuwa anatangaza idhaa ya kiswahili ya ujerumani alikuwa akiitwa umul kheir huyu mama kwa kweli lafudhi yake ilikuwa inanivutia mno, lakini sikuwahi kujua asili yake huyu mama, ajuae naomba anijuze, mama mwingine aliyewahi kunivutia alikuwa anaitwa khadija Riyami
 
Yawezekana, hapo kwenye watangazaji, jina namba 24. Chama Omari Matata, ni Mzee Othman Matata, alikuwa akitangaza Taarifa ya habari tu, na hakukaa sana.
Nami pia namkumbuka mzee wetu Sheikh Othman Matata Kawia huyu alikuwa mtaalam wa kusoma taarifa habari kwa lugha ya kiingereza, na ninafikiri pia alikuwa na ndugu ambae alikuwa BBC nafikiri huyo ndie anaemzungumzia faiza
 
Hawa ndio baadhi ya watangazaji Wa RTD, ninao wakumbuka:
  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati’ Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda
henry maiko clibuda, happy ngasala, salim mbonde, chalz hilary, julius nyaisanga
 
Nami pia namkumbuka mzee wetu Sheikh Othman Matata Kawia huyu alikuwa mtaalam wa kusoma taarifa habari kwa lugha ya kiingereza, na ninafikiri pia alikuwa na ndugu ambae alikuwa BBC nafikiri huyo ndie anaemzungumzia faiza

Sheikh Othman Matata ninae mfamah mimi ni yule alikuwa Chief Security Officer pale Railways na alikuwa kwenye mihadhara ya Kiislaam sana, huyo ni rafiki yake mume wangu na tunajuana sana, sijui kama ni huyo ambae alikuwa akitangaza pia External Service, kweli anaongea kiingereza kizuri sana.
 
Naam hujakosea ndio huyo huyo sheikh Othman matata na hata wakati ule anatangaza external service alikuwa yukoTanzania Railways Corporation, nilipata bahati ya kumtembelea miaka hiyo wakati anaishi Ohio street- Railway flats
 
Back
Top Bottom