Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Kuna mama mmoja nae alivuma sana kipindi kile alikuwa akijulikana kama Zena msakuzi ( super mama shangazi) , jamani hivi wale wazee wa newala ile salam club ilikuwa ni ya familia au.....? Maana kulikuwa na wajadi fundi, Duwa wajadi,Zainabu wajadi......duu walikuwa wadau wakubwa wa salamu
 
Kati ya hawa wote ni yupi tumtunze.. ningependa tumpate mmoja au wawili wao.. tuweze kuzungumza nao "live"..
Kwa mara ya kwanza nimesoma kila ukurasa wa huu uzi.

Mkuu mtafute Chivalavala wa Chivalala.

Wakati mwingine nikikumbuka enzi hizo, nahisi kama machozi yanalenga lenga ivi....! Ama kweli siku hazigandi.

Radio ilikuwa moja, ukiacha ile ya sauti ya Tanznia Zanzibar, lakini vipindi vilikuwa maridhawa kabisa na vikikidhi mahitaji ya wengi.
 
Hawa ndio baadhi ya watangazaji Wa RTD, ninao wakumbuka:

  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati’ Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda
 
Hawa ndio baadhi ya watangazaji Wa RTD, ninao wakumbuka:
  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati’ Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda
namkumbuka ripota ben kiko, akiwa na vikosi vya jwtz vita vya kagera akaripoti mapambano live bila chenga kama alivyoona!!!!, watuma salam namkumbuka maliki lumaliza wa misugusugu kibaha.
 
namkumbuka ripota ben kiko, akiwa na vikosi vya jwtz vita vya kagera akaripoti mapambano live bila chenga kama alivyoona!!!!, watuma salam namkumbuka maliki lumaliza wa misugusugu kibaha.
mike handrick libuda (sina hakika na spelling)- Kanda ya kati dodoma
 
Godfrey mngodo, Hamza kasongo huyu nakumbuka alikuwa ile idhaa ya kiingereza ( external service)
Hawa ndio baadhi ya watangazaji Wa RTD, ninao wakumbuka:
  1. Abdallah Mlawa
  2. Nassoro Nsekeli
  3. Bujaga Kadago
  4. David Wakati
  5. Khalid Ponera
  6. Christina Chokunogela
  7. Ahmed Kipozi
  8. Siwatu Luwanda
  9. Salim Seif Nkamba
  10. Salama Mfamao
  11. Bartholomew `Bati’ Kombwa
  12. Ahmed Jongo
  13. Dominic Chilambo
  14. ngalieni Mpendu
  15. Sekioni Kitojo
  16. Chisunga Steven
  17. Edda Sanga
  18. Mikidadi Mahmoud
  19. Deborah Mwenda
 
Godfrey mngodo, Hamza kasongo huyu nakumbuka alikuwa ile idhaa ya kiingereza ( external service)

Kuna mwingine alikuwa Tumbuizo asili, Asilia salamu, Mkua kwa mkoa sie mwingine bali ni Michael Katembo(RIP)
 
Kuna mwingine alikuwa Tumbuizo asili, Asilia salamu, Mkua kwa mkoa sie mwingine bali ni Michael Katembo(RIP)
Duu vipindi vya wakati ule ilikuwa burdan kweli, na vilikuwa vinajaribu kugusa kila nyanja kwenye jamii, unakumbuka kile kipindi cha saa kumi na moja jioni cha shambani ( shambani X4, mazao bora shambani, wananchi tukalime........) hapa watuma salamu walikuwa hawakosi, vipindi vingine vilikuwa jambo, mchana mwema, kijaruba hiki kama sikosei kilikuwa kinaendeshwa na Abdallah mlawa......je mnakumbuka kipindi cha mikingamo? ? Majira saa tatu usiku, ben kiko alikuwa akivutia saana na hitimisho lake, 'Huyu ni ben kiko majira Dodoma'
 
Nacki story kuwa ben kiko aliripoti vita ya kagera kwa utani mwingi matokeo yake mwalimu nyerere akampa adhabu ya viboko..Mwenye ukweli juu ya hili tafadhari..anijuze
 
kuna mdau kasema sura mbili bingwa wa salamu!alikua anaitwa exaudi anaeli nnko,au sura mbili!alikua anapenda kumsalimia wajadi fundi,zakaria ndemfoo,yanh raha!enz hzo unawekewa wimbo wa vijana jzz!au sikinde ngoma ya ukae!
 
Back
Top Bottom