Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Kulikuwa na "mabingwa wa salamu" ambao walikuwa hawakosekani aidha kutuma salamu au kutumiwa salamu kwenye vipindi mbalimbali vya radio. Unayakumbuka majina yao?
mi hao wa zamani sana siwajui.
Ila hawa wa 2000's? Aah, taarifa zao ninazo si haba,
1. Jumanne Sebarua Tingisha
2. Musa Kaisi
3. Chesko mzee wa matunda
4. Pido G Pido Guy
5. Muntala Talavii Talavencha
6...
7...