Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

omukaruka mwana musese anatuma salamu sana morning star f.m
 
Mohamed kiyaiyai -R1, mpaka tukamtunga jina hilo mwalimu wa civics
 
Nyie wote watoto, enzi zetu Radio Tanzania.....

Wajadi Fundi wa Mahuta Newala Shimoni

mbago m. Mbago wa Mbeya... Enzi za RTD kuanzia jambo asubuhi,pokea salamu,chaguo la msikilizaji... Mh na nyie malizieni hivyo vipindi vya salamu
 
Kuna jamaa alikuwa akiongea kwa mbwembwe alikuwa akijiita mzee wa Kisarawe.
 
Issa Hassan Majeshi hakuwa fundi viatu pale Tabora kweli?
 
1.Zainabu Wajadi wa Mahuta shimoni.
2. Wajadi Fundi Wajadi wa Mahuta shimoni.
3. Baddy Spencer wa Arusha
4. Mayunga Plisner
5.H.Bororo wa Soya UlayaUlaya
 
Chidi Chidi Chitenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaisi Musa Kaisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bambe Hussein Bambe, bingwa wa mabingwa wa Salaam. '60s and '70s.
 
mudi kiyaiyai ....koma koma sela sela nukta nukta dot com.
 
Back
Top Bottom