mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 118
Bongo experience. Halafu jamaa anaongea point sijawahi mfananisha na mwingine in 2k yrs. Yupo wapi sasa huyu?Tujikumbushie watuma salamu na watumiwa salamu maarufu ktk Radio mbali mabali.
1.Baba Dura one wa Tanga
2.Chesco mzee wa Matunda
3. ...........
4. ..........