goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,839
- 13,151
Mm mwenye napenda kuwasikiliza snaSiku hizi Ukisikiliza Deutsch welle (DW) na BBC kuna jamaa mmoja maarufu sana anaitwa Jumanne mpenda Amani yeye kila akipiga simu kutoa maoni yake mwishoni lazima amalize na hii kauli mbiu "ni busara Urusi Waache vita haraka" anafurahisha Sn