Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Nyembo Juma Nyembo
Wesu Mbuzi
Duncan Mwapagata
Nuru Mtoto
Hussein Makabyureta
Hawa Hassan Kilongo
Exaud Annael Nnko
Exaud Makyao
Mbekai Ali Mbekai
Juma ramazan kamage.
Samwaja wa samwaja.
Damas rufinde nyingo.
Ali mbondei.
Romanus ishengoma.
Zamlatha Jongo.
 
Kwa wadau wa redio, kuliwana watuma salaam maarufu redioni hasa Radio Free Africa miongoni mwao alikuwa
1 Chacha Muhiriobareeee
2.Lawena Nsonda
3. Elias Sultan Nzowa kutoka boda ya wajanja Tunduma.
4. Edward kabamba kutoka haidom manyara
5. Vumi lalata
6. Mamaa Pendo
7. Lyimo
8. sikujua ilanga Msukwa kutoka Itobo Nzega
9. Ustadhi Sabasaba
10. Mbugujo Mwasengo na wengine weengi?
 
Ahsante kwa taarifa..

Kizazi chetu enzi za clouds ipo 🔥🔥
Kulikua na kina ummy kitwana
Jozee Roma wa tabata
Salma ngwila wa dom
Rama ngozi wa dom
Dereva bajaji wa mwenge
Na wengine wengi...
 
Tunakomenti wapi sisi maNgariba wa enzi za RTD Dar Es Salaam..🙄😶
 
Nakumbuka jamaa mmoja ivi kutoka kigoma,(nimemsahau jina )

Kuna jamaa mwingine aliitwa LENGA CHAPATI...
 
Namkumbuka jamaa mmoja aliyeitwa WAJADI FUNDI WAJADI mahuta salamu klabu RTD
 
Miaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news', Zamani redio ilikuwa chombo muhimu ktk kupata taarifa na burudani.

Leo nimewakumbuka wale watuma salamu maarufu enzi zile,ingawa hata sasa wapo baadhi ya watu ambao ni maarufu ktk vipindi mbalimbali ukisikiliza redio km Clouds mfano kuna heri dereva babaji, shangwe dereva babaji, Daudi wakota n.k

Enzi hizo ukisikiliza kipindi cha mirindimo asilia na Malima Nderema au salamu Kwa wagonjwa, kuna majina maarufu huwezi kuacha kuyasikia wakati wa kutuma salamu.

Kuna huyu jamaa wa kuitwa Wajadi fundi Wajadi binadamu mashaka, yeye kila siku yupo safarini kuelekea mahuta shimoni, fundi Khamisi full migebuka wa mwandiga fashion sokoni Kigoma.

Lawena Msonda Baba mzazi kutoka chunya Mbeya.

Ally Mrangi Gigiri Mresa yeye mar kila siku yupo safarini kuelekea mabibo Dar es Salaam.

Zakaria Ndemfoo, Issa Mzee wa urembo kutoka Moshi. Lupa tingatinga "mdau asiyechuja" ndiyo ilikuwa slogan yake bila kumsahau Chesko Mzee wa matunda kutoka Africa Sana.

Kuna mdau akiitwa Limonga Justine Limonga na kuna huyu mama Abuu wa majani mapana. Kuna jamaa aliitwa Fikiri Dario Gakala wa GGM Geita na Filbert Kyenshambi kutoka Muleba-Nshambi, wapo wengi sn na tulikuwa tunaenjoy sana Enzi hizo

Unawakumbuka baadhi? Unazikumbuka kauli mbiu zao maarufu zilizotamba?
 
Siku hizi Ukisikiliza Deutsch welle (DW) na BBC kuna jamaa mmoja maarufu sana anaitwa Jumanne mpenda Amani yeye kila akipiga simu kutoa maoni yake mwishoni lazima amalize na hii kauli mbiu "ni busara Urusi Waache vita haraka" anafurahisha Sn
 
Back
Top Bottom