Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Miaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news', Zamani redio ilikuwa chombo muhimu ktk kupata taarifa na burudani.

Leo nimewakumbuka wale watuma salamu maarufu enzi zile,ingawa hata sasa wapo baadhi ya watu ambao ni maarufu ktk vipindi mbalimbali ukisikiliza redio km Clouds mfano kuna heri dereva babaji, shangwe dereva babaji, Daudi wakota n.k

Enzi hizo ukisikiliza kipindi cha mirindimo asilia na Malima Nderema au salamu Kwa wagonjwa, kuna majina maarufu huwezi kuacha kuyasikia wakati wa kutuma salamu.

Kuna huyu jamaa wa kuitwa Wajadi fundi Wajadi binadamu mashaka, yeye kila siku yupo safarini kuelekea mahuta shimoni, fundi Khamisi full migebuka wa mwandiga fashion sokoni Kigoma.

Lawena Msonda Baba mzazi kutoka chunya Mbeya.

Ally Mrangi Gigiri Mresa yeye mar kila siku yupo safarini kuelekea mabibo Dar es Salaam.

Zakaria Ndemfoo, Issa Mzee wa urembo kutoka Moshi. Lupa tingatinga "mdau asiyechuja" ndiyo ilikuwa slogan yake bila kumsahau Chesko Mzee wa matunda kutoka Africa Sana.

Kuna mdau akiitwa Limonga Justine Limonga na kuna huyu mama Abuu wa majani mapana. Kuna jamaa aliitwa Fikiri Dario Gakala wa GGM Geita na Filbert Kyenshambi kutoka Muleba-Nshambi, wapo wengi sn na tulikuwa tunaenjoy sana Enzi hizo

Unawakumbuka baadhi? Unazikumbuka kauli mbiu zao maarufu zilizotamba?
Umesahau Matumla s Matumla wa kirombero kidatu Morogoro
 
Natamanigi sana kumsikia mogile machuki kutoka kisii kenya bila mafanikio
 
Kuwaya Waya wa Kuwaya Waya kutoka Lizaboni Nyumbi hii bombi hii!

Huyu mwamba alikuwa comedian balaa
 
Hivi huyu asiatu damumbaya ndio nani wakuu..

Maana zamani kidogo kila kwenye radio lazima nimsikie.
 
Miaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news', Zamani redio ilikuwa chombo muhimu ktk kupata taarifa na burudani.

Leo nimewakumbuka wale watuma salamu maarufu enzi zile,ingawa hata sasa wapo baadhi ya watu ambao ni maarufu ktk vipindi mbalimbali ukisikiliza redio km Clouds mfano kuna heri dereva babaji, shangwe dereva babaji, Daudi wakota n.k

Enzi hizo ukisikiliza kipindi cha mirindimo asilia na Malima Nderema au salamu Kwa wagonjwa, kuna majina maarufu huwezi kuacha kuyasikia wakati wa kutuma salamu.

Kuna huyu jamaa wa kuitwa Wajadi fundi Wajadi binadamu mashaka, yeye kila siku yupo safarini kuelekea mahuta shimoni, fundi Khamisi full migebuka wa mwandiga fashion sokoni Kigoma.

Lawena Msonda Baba mzazi kutoka chunya Mbeya.

Ally Mrangi Gigiri Mresa yeye mar kila siku yupo safarini kuelekea mabibo Dar es Salaam.

Zakaria Ndemfoo, Issa Mzee wa urembo kutoka Moshi. Lupa tingatinga "mdau asiyechuja" ndiyo ilikuwa slogan yake bila kumsahau Chesko Mzee wa matunda kutoka Africa Sana.

Kuna mdau akiitwa Limonga Justine Limonga na kuna huyu mama Abuu wa majani mapana. Kuna jamaa aliitwa Fikiri Dario Gakala wa GGM Geita na Filbert Kyenshambi kutoka Muleba-Nshambi, wapo wengi sn na tulikuwa tunaenjoy sana Enzi hizo

Unawakumbuka baadhi? Unazikumbuka kauli mbiu zao maarufu zilizotamba?
Chivalavala S. Chivalavsla
na
Chesco Mzee wa Matunda

Wote wakazi wa Mwenge
 
Funga kazi ni Top manyota huyu jamaa ilikua wakiruhusu tuuu simu zipigwe yumo tena nafasi ya kwanza kabisa.

Kuna Edward Kabamba kama sikosei mtu wa manyara

Bila kusahau kule mbeya kuna mzee Lawena aka baba mzazi
 
Jumanne Tingisha, Joseph Ngilisho, Nagunwa Nakomolwa
duuh we jamaa kweli muhenga🙌🙌

Hapo ongezea hawa hapa-Chidi Chidi Chitenda, Issa Hassan Majeshi, Mbekai Ali Mbekai, Hawa Hassan Kilongo "Super White Mamaa", Exaud Anael Nnko, Nyembo Juma Nyembo, Romanus Ishengoma, Bob Hassan Marejeta, Zakariah Ndemfoo (rip)
 
Sasa hapo kwa rtd usiombe nyuma ya maiki awe mtu mmoja akiitwa Abdallah Mlawa ilikuwa balaa sana😄😄😄huyu jamaa alikuwa anaipenda kazi yake sijawahi kuona alikuwa na manjonjo mengi na udambwiudambwi sana anavyotangaza ilikuwa burdani sana kumskiza mzee mlawa
 
Samwaja wa Samwaja, Kuwayawaya S. Kuwayawaya(huyu alishakuwa mbunge wkt flani), Juma Ramadhan Kamage, Jumanne Sebarua "Tingisha", Limonga Justin Limonga.
 
Back
Top Bottom