MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,972
Wote!ndio
umewahi kumsikia Ngaliba Jongo wewe?
Wote!ndio
umewahi kumsikia Ngaliba Jongo wewe?
👍Wote!
hapo nmemkumbuka uyo wa mwisho mselabuyeKuna pia Engineer Uchumi Philibert
Ngalama Maluta wa Isolo Magu Mwanza
Mark Mihayo wa Magomeni Dar
Mariam Lutemagula wa Geita
Seka wa Ilangasika Geita
Victor Mselabuye
Sio wa zamani sana ila anakuja kwa kasi, yupo active sana radio nyingihapo nmemkumbuka uyo wa mwisho mselabuye
😂 Dah.. Nyakati nzuri hazidumu kabisaKung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obare
Mtangazaji: Muhiri Obareee
Muhiri Obare: Naaaaaaaaaaaaaam
hapo sawaSio wa zamani sana ila anakuja kwa kasi, yupo active sana radio nyingi
Mahuta ipi wilaya ya Newala,mkoa ni Mtwara na siyo Lindi,mkuu.mahuta ipo newala lindi
Hawa nafurahi sana nikisikia 'mahuta shimoni'.
kila lakheri kiongozi ukumbuke kuleta apa mrejeshoHawa nafurahi sana nikisikia 'mahuta shimoni'.
Mwaka huu mwezi wa saba nataka niende kule newala kwa akina wajadi fundi wajadi😂.
Hakika. Lazima niwajulishe yatakayojiri kule.kila lakheri kiongozi ukumbuke kuleta apa mrejesho
Kuna huyu anayeitwa baba Nurat mfuga njiwa.Nuru Mtoto
uko unaweza kushangaa unang'ang'aniwa na warembo kama wote wanataka uwabless. usipokaa sawa unaweza kukojoa adi ubongoHakika. Lazima niwajulishe yatakayojiri kule.