Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Ukiacha hao wa zamani Kuna siku saa 11 alfajiri nilifungulia radio one stereo Kuna Jamaa ni msukuma nafikiri anaitwa Gombo Mulenge Kutoka Regeza Mwendo uyui Tabora, daah anafurahisha sana anavyotuma salamu zake
 
Nawakumbuka wafuatao;
1. Elias Sultan Nzowa kutoka Boda ya wajanja Tunduma
2. Pido guy pido guy
3. Chacha Muhiriobaleeeeee
4. Mbughujo Mwasengo
5. Edward Kabamba kutoka Haidom Manyara
6. B 52
7. Mama pendo
8. Lawena Nsonda
9. Lenga Chapati
10. Paul Misalaba na wengineo
 
Huyo B 52 alikuwa na mikwara sana aka sultan nzoah aka fully dollar no bipabo
 
Hilo.jina la LENGA CHAPATI linachekesha SANA

wapi wafuatao

Top manyota wa dodoma

Dj pius dankara wq Gangstar kina kirefu wazee wa 2pac Amar Shakur

Chesko mzee wa matunda ..kinondon

Massawe dereva taks wa kinondon homboyz

Lawena nsonda baba mzaZ wa makongorosi chunya

Dula.h dula

Ali mote gomban tanga

Suzy ngodoki

Manka mushi kinondoni

Zakaria ndemfoo Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom