Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea zaidi ya story za hapa pale.
Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Nauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.?