Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Anafanya makusudi kukuumiza hana lolote, hiyo inaitwa "mind game" kuna kipindi nilikua na House girl simu yake ilikua bzy kuliko ya kwangu kila wakati, tatizo ni lack of confidence au kutojiamini.Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi.
Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea zaidi ya story za hapa pale.
Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Nauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.??
Huyo anakutaka kijanja umpelekee moto.Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Wewe una shida gani nae mtu anakaa na kulala na watoto? Wewe ongea na watoto inatosha.Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea zaidi ya story za hapa pale.
Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Nauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.?
Sasa umeachana nae yeye kuongea na simu unaumia nnKama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea zaidi ya story za hapa pale.
Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Nauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.?
Siumii ina naona kero tu mikelele yake usiyo na mantikiSasa umeachana nae yeye kuongea na simu unaumia nn
Kwahiyo umeshindwa kumwambia?Siumii ina naona kero tu mikelele yake usiyo na mantiki
Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea zaidi ya story za hapa pale.
Yani akiamka asubuhi (analala na watoto na house girl) yeye ni kuongea na simu tu mpaka kero hadi natamani kumfukuza arudi anakoishi.
Nauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.?
Sisi huku hatuishi na watu wa namna hiyo, labda utuletee huyo tumfanyie utafitiNauliza wenzangu mnawezaje kuishi nyumba moja na mwanamke anaependa kuongea kwenye simu muda mwingi.?
Apunguze ujuaji tena! 🤣🤣🤣Kama anaongea kwa lugha unayoielewa shukuru Mungu na upunguze ujuaji, sisi wenzako wake zetu wanaongea kilugha ila ukiuliza alikua anaongea nini akutafsirie anaanza kucheka cheka na kukuacha njia panda
Sasa kitu nlichogundua ni kwamba huyu mwanamke anaongea sana na simu tena siskii cha maana anachoongea
Apunguze ujuaji tena! 🤣🤣🤣