Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

Sasa mtu mmeachana unamuonea wivu wa nini?
 
Na amefuata ada,daftari,viatu na sare mpatie uone km ataendelea kuwepo
 
Sasa si umwambie mkeo...
Kaa nae chini tafuta lugha tamu...
Tena ikiwezekana pale ukishakula chakula cha usiku tu, zingatia neno chakula, palepale unamwambia kuwa hupendi....
 
Aahh embu subiri.

Yaan mliachana , ila watoto wamekuja likizo, nayeye kaja pia .

Miaka miwili ulikua unakaa pekeako na mdada wa kazi au??.

Duuhh .
 
Aahh embu subiri.

Yaan mliachana , ila watoto wamekuja likizo, nayeye kaja pia .

Miaka miwili ulikua unakaa pekeako na mdada wa kazi au??.

Duuhh .
Jikite wenye mada ni huyo mwanamke kuongea na simu muda mrefu halafu mambo anayobonga ni yakidwanzi.
 
Huyo ndiyo chaguo lako pambana nae.Au mfungulie kampuni.
 
Mpe live hapo siyo customer care ya ule mtandao uliobadirishwa jina juzi tu hapa.(Wateja bado hawajamini jina jipya).


Kwanza Kwa nini unaruhusu mtu si ndugu yako kuja kwako na kulala? Anakwake una kwako. Hapo unakaribisha shetani uliyemshdwa kuzibiti mara ya kwanza, utashikwa maskio mpka ukome.
 
Huyu ananifaa sana mkuu niconnect naye
 
Mkuu ngoja nikupe siri. Ukiona mwanamke anaongea na simu muda wote ujue wewe ndiye tatizo. Hum keep busy. Ungekuwa unamdinya, kila dakika upo kifuani mwake asingepata wasaa wa kuongea na simu kwa mida mrefu. Hayo anayofanya ni makasiriko tu ya kutodinywa. Jaribu leo utakuja kunishukuru.
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza wachambuzi wa Midinyo, hakika wamechambua vyema
 
Unataka mrudiane kwani?Achana nae huyo alienae ndio shida zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…