Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).

Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.

Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.

Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
 
Umesahau kuweka picha

images (31).jpeg
 
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.
Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
We jamaa asubuhi yote hii!!!
20250817_205119.jpg
 
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.
Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
Walikusamehe.Wangekupa zile biskuti ngumu za jeshi hadi jasho lingekutoka.
 
Dar es salaam hii sijawahi elewa wala kula hizo ndizi sijui mabanda ya chips wala kitimoto,, wapo wanaopika fresh kabisa

Kuna sehemu bunju tulikula mdudu ni mtamu balaa, ni mtamu balaa
 
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).

Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.

Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.

Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
Utatoka funza puani, hao wanyama ni haramu
 
Back
Top Bottom