😂 leo kuni, kesho machenga ya mkaa . Shikamoo uswazi landBoss watoto wa uswazi matumo yetu ni kama jiko, hayachagui kuni🤣🤣🤣
Sasa jamani si pengine unataka uninunulie hiyo kitu boss mkubwa🤣😂 leo kuni, kesho machenga ya mkaa . Shikamoo uswazi land
Umeniita boss, unanikosea boss wangu
Nyiee😋😋😋
Tag locasheni inapopatikana tamuSasa jamani si pengine unataka uninunulie hiyo kitu boss mkubwa🤣
OkayNi nzuri hata kwa kupunguza tumbo hizo ila ukila kavukavu na maji tu
Asante kwa tafitiWalakitimoto tunapendana Sana kuliko wavuta sigara
Nitapita huko bunju nikirudi mjini.Dar es salaam hii sijawahi elewa wala kula hizo ndizi sijui mabanda ya chips wala kitimoto,, wapo wanaopika fresh kabisa
Kuna sehemu bunju tulikula mdudu ni mtamu balaa, ni mtamu balaa