Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

Mbeya hiyo,ndo mavyakula yao hayo wanakula bora kushiba tu.
 
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).

Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.

Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.

Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
My muslim brothers really amaze me. These negroes will sin in every possible way,stealing,fornicating,insulting,killing, but when it comes to eating pork that is where they draw the line. Ati its not halal. These guys will have a special fire for them in hell,a fire of hypocrisy
 
Siku Moja nime tembelea Mbeya mdogo wang akasema bro Embu tupite mahali tupate Mdudu kufika pale kg wanauza 6,000 nikashangaa ika bidi tuagize kg2 na ndizi za buku alooooh..
Mzigo uliokuja ulikua heavy kiasi kwamba nikapigwa na bumbuwazi kwanza zile zilikua n zaid ya kg2 wajamaa sijui wali2pa nyongeza pili ndizi za buku zilikua 6 ikabidi tuagize mizinga miwili ya nyagi ili kubalance mambo.
 
6,000 kwa kg, mbona bei rahisi sana.
Binafsi napendelea na ugali.
 
Back
Top Bottom