NakaziaWahuni wakija kwenye huu uzi watasema wewe ni kijana wa Dar, uko soft umezoea chips yai. Ngoja waje
We jamaa asubuhi yote hii!!!Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.
Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
Ila Mdudu mwacheni kabisa
Walikusamehe.Wangekupa zile biskuti ngumu za jeshi hadi jasho lingekutoka.Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.
Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.
Astaghifilulah!Kharamu kabisa.Anyway,hebu nikazurule kidogo nione kama nitapata angalau hata masikio yake tu.
Pale kwa dula haukosiAstaghifilulah!Kharamu kabisa.Anyway,hebu nikazurule kidogo nione kama nitapata angalau hata masikio yake tu.
Mbona imeshaanza zamaniMwezi ujao tunaanza rasmi operation ya Oktoba tunatiki kwa udhamini wa Papa Makala kupitia ChoiceVariable funaku chiembe
Utatoka funza puani, hao wanyama ni haramuJana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).
Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.
Mandizi magumu sana hayo ila inaonekana watu wa hapa ndio wanazipendelea zaidi.
Ni vizuri wauza kitimoto muwe mnaweka ndizi laini na viazi mviringo pia kama viambatanisho.