Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

Huku ndio Musoma babu.
 
Nyuzi za kikafiri zimekua nyingi sana skuizi aiseee
 
Acha ukafiri blaza costant
Angalau unajua hiyo constant maana yake umeenda shule. Tumia akili Sana usikubali kupelekwa na mamila ya kizamani ya mwarabu. Ndio maana Huwa hataki akishapata mateka waisome ELIMU inayoeleweka anajua utabumburuka anakulazimisha eti ukisoma hicho kitabu Cha Mila zake utampata ELIMU ya Kila kitu . Sijawahi kuona madaktari waliograduate baada ya kukariri kitabu hicho zaidi ya waganga wa kienyeji wa kuuza mikuyati " ya kisuna" ili wawathibiti wake 4 kumbe wanaua moyo na figo
 
Kwahyo unataka kusema mashekhe wanauza mikongo...

Unataka kusema kina Vishu Mtata wanatumia mikongo
 
Siku nyingine waambie waziminye na kurudisha kwenye mafuta yanayochemka hutoacha kuzila.....
 
SIO poa, hivi wanazibanaje Hadi zinakua vile?
Wakisha zimenya wanaziweka kwenye mafuta yanayo chemka zinapoelekea kuiva wanazitoa kwenye mafuta na kuziminya kwa kutumia kitu kilicho flat halafu wanazirudisha kwenye mafuta yanayochemka zimalizikie kuiva..... Baada ya hapo ni kufurahia....
 
Wakisha zimenya wanaziweka kwenye mafuta yanayo chemka zinapoelekea kuiva wanazitoa kwenye mafuta na kuziminya kwa kutumia kitu kilicho flat halafu wanazirudisha kwenye mafuta yanayochemka zimalizikie kuiva..... Baada ya hapo ni kufurahia....
Hata wakizibinya zikipoa muda mrefu zinakuwa ngumu
 
Fanya tafiti tembelea nje ya nyumba zao za ibada Tanzania nzima nje ya nyumba hizo au vinanda vinavyozinguka lazima utskuta wanauza madude hayo ni mkakati huo
Sema we jamaa ni mgombanishi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿซต๐Ÿซต
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ