Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

Wanaojua kupika vinakua mororo tuu,jifunze pia
 
Sema wewe ni miongoni wa wakishua tu bila shaka hata biscuit kuvunja huwezi
 
Dunia ya leo Habari muhimu km Hii unaleta bila picha na video kweli?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Bila shaka silaha pekee iliyopo ni matusi kama ulivyo nena hapo awali.... Lakini sina uhakika kama itabadilisha matokeo..... We have to accept the living facts....
Kafiri wewe
 
Ndizi mbichi ndio zenyewe mvivu ni kwajili ya vibogoyo na wabovu wa meno
 
Jana nilinunua kichwa cha ngurue kina kama kg 4 hivi. Nimekula kidogo ingine ipo kwenye friji. Hakika sitakiacha tena.Si kwa utamu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…