Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

Ambao wanatoa bure wanapata faida gani ndugu?

Naweza kuwa siuzi ila naelewa kabisa kwanini wengine wanauza.
 
Bora hata sisi tunaomba hela, wao wanaomba dhambi.
 
Ila hamna watu nawakubali kama wanaume ambao hata mahusiano huna au mnahusiana
ila ana huruma, mtu.mwenye huruma hana haja ya kuombwa
kuna situation ukiwa tu anakusaidia anajiongeza, na sio kwamba ni kikubwa nachotoa.. kuna mda mtu anahitaji buku2 tu maish yaende.. Popote mlipo Mungu awabariki sana!!!
Kuna wanaume Mungu amewapa Moyo sana.. maana kuna watu hata ukionyesha risiti za muhimbili zenye tarehe ya leo leo hata ndizi ya 250 hafikirii atakupa pole tu na kujiweka mbali ajifanye yuko busy na maisha
 
Bro hawa watu ni wabunifu mno katika hiko kitengo
Ni wabunifu sana.
Nilimtania ili kupima ukweli wake,nikaona kabisa ni muongo ila sikutaka kumkwaza..nikamtumia kiasi alichokitaka.
 
Heiyooo madam...,Peleka huu ujinga wako kulee....!!!
 
Baada ya hiyo miezi 3 picha K utatuma?
 
Ukiona K anakuomba hela baada ya muda mfupi jua hakupendi na anatafta namna ya kukufukuza na mnakuwa mko wengi, hiyo msg moja nywele inatumwa kwa watu 10 na wote anawambia hela ndogo tu, atakwambia 30,000 utajikanyaga umpe 20,000 au yote na mwingine hivyohivyo, siku ukiona hiyo mizinga yake imezidi na ukajikata wala haumii, umjibu msg zake usimjibu anaona sawa tu.
 
mapenzi ni udhaifu, ukiona mtu anayafuatilia sana mapenzi basi hata maamuzi yake kwenye mambo yanakuwa na mashaka
Sio kweli, mapenzi yana muda wake na mambo mengine yana muda wake na vyote hivyo 2 vina mazingira yake maalum
 
Mimi naona iwe hivi kama unataka mzigoo ulipie hata dukani unalipia mzigo ndio uchukue .

Ila Kama unataka kutulia na babe umempenda basi chukua Muda umjue ,ngoja niwafunze jambo kupitia hapa if humtaki mtu Kwa ndoa basi fanya hivi . Mwambie babes Kwa Sasa naomba tupendane tu na sio ndoa tule Raha nitakupa kadri ya uwezo wangu .. ukija kumwelewa basi unamuoa ila njia mtakazo ni ngumu kupata mke au demu wakuspend .

Walahi ila nasiri nzuri jinsi yakupatA mtu kirahisi ila siwapi humu hiyo technic cause mnaniona maraya so kwendraaaa zenu mxiuuu bakini na punyeto
 
Tatizo wanawake waliowengi watokako walishaumizwa jwahiye mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake lazima naye alipize kisasi kwa hiyo mizinga, na kuna mwanamke toka aingie kwenye mahusiano hajawahi kutendewa wema hata siku 1,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…