binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ambao wanatoa bure wanapata faida gani ndugu?Nlikuwa sijui kumbe ni barter trade sio, ili upewe punany unatakiwa ucompesate pesa, yan wanawake mbona mnafanya value yenu ishuke ivyo? Yan umefikiria ukaona pussy huwa inabadilishwa na fedha? Hilo limange lenyewe beki hazikabi kwanza chembamba kama bimkora ila mashauz utasema yeye beyonce, kudadeki... Ndio mana watu wanawadharau ndio mana watu hawatongozi sikuiz, utashangaa mtu anamtangazia mwanamke dau alafu anamwambia twende nikakukaze sasa si ndio logic nzima ya muktadha wa nipe nikupe, mapenz yako wapi?
Naweza kuwa siuzi ila naelewa kabisa kwanini wengine wanauza.