MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

Yaani hata ufoke namna can't lakini ukweli unabaki palepale kwamba inflation ni zao la uzembe wa serikali.

Mipango ya mihemko isiyotekelezeka ndo maana kila kukicha wanakuja na mipango mipya badala ya kumalizia waliyoianza.

Pia unaposema mimi nijolimie chakula changu kama jibu la kupunguza makali ya bei ni kukariri
Inflation mbona iko stable au una tatizo la matumizi ya maneno
 
Yaani hata ufoke namna can't lakini ukweli unabaki palepale kwamba inflation ni zao la uzembe wa serikali.

Mipango ya mihemko isiyotekelezeka ndo maana kila kukicha wanakuja na mipango mipya badala ya kumalizia waliyoianza.

Pia unaposema mimi nijolimie chakula changu kama jibu la kupunguza makali ya bei ni kukariri
1675094373497.png

images
 
Ndugu yangu hebu rekebisha resolution za picha. Mtu akizoom hawezi kusoma details
Mkuu ndivyo zilivyo- ile ya juu ni mwenendo wa mfumko wa bei Tanzania na ya chini ni ya Ubelgiji. Walau unaweza kuona huu mstari unavyoenda
 
Hoja za lissu hazijibiwi Kwa kusaka cheo inabidi uwe uko vizuri maana bila hivyo utashindwa kuaminika wakisema tozo ni mzigo ,mfumuko wa be wa vyakula unawatesa maskini inabidi ukae Kwa kutuliza akili
 
Kwa hili nitasimama na Lissu!

Suala sio utofauti wa bei,kati ya nyama na Maharage!

Hoja kubwa ni kwa nini bei za bidhaa hizo ambazo kimsingi,hazitokei Ukraine [emoji1255].

Ng'ombe wamejazana Tanzania, halafu kilo moja inakuwaje 9,000/=. ...why!

Maharage yanalimwa Tanzania [emoji1241], lakimi kilo imefikia kilo shilingi 4,000/= kwa nimi?

Samia ndie alikuwa wa kwanza kushawishi,upandaji wa bei holela,kupitia hotuba zake kadhaa,alipokuwa akitetea Tozo!

Msituone watanzania woye ni makabwela tusiojitambua.

Unapofungua mipaka ya mchi,ili kuwafurahisha baadhi ya watu na kutafuta Political Mileage.

Madhara yanapotokea muwe mnajua mlipokosea na kutoa ufafanuzi!

Leo hii mnatembea mkiwadanganya hao wavaa kijani,na kusubiria Posho,lakini wapiga kura suo hao pekee!

Mkipigwa chini baadae msije kushtuka,kwa sasa endeleeni kukamua buyu la asali.
Bei za mazao zikiwa chini pia mnailaumu Serikali haiwasaidii wakulima kupata bei nzuri ya mazao yao. Bei ikipanda mnalalama!! Magufuli aliwahi kusema, kama unaona bei ya bidhaa ni kubwa nenda nawe ukalime.
 
Back
Top Bottom