Inflation mbona iko stable au una tatizo la matumizi ya manenoYaani hata ufoke namna can't lakini ukweli unabaki palepale kwamba inflation ni zao la uzembe wa serikali.
Mipango ya mihemko isiyotekelezeka ndo maana kila kukicha wanakuja na mipango mipya badala ya kumalizia waliyoianza.
Pia unaposema mimi nijolimie chakula changu kama jibu la kupunguza makali ya bei ni kukariri
Yaani hata ufoke namna can't lakini ukweli unabaki palepale kwamba inflation ni zao la uzembe wa serikali.
Mipango ya mihemko isiyotekelezeka ndo maana kila kukicha wanakuja na mipango mipya badala ya kumalizia waliyoianza.
Pia unaposema mimi nijolimie chakula changu kama jibu la kupunguza makali ya bei ni kukariri
Ndugu yangu hebu rekebisha resolution za picha. Mtu akizoom hawezi kusoma details
Mkuu ndivyo zilivyo- ile ya juu ni mwenendo wa mfumko wa bei Tanzania na ya chini ni ya Ubelgiji. Walau unaweza kuona huu mstari unavyoendaNdugu yangu hebu rekebisha resolution za picha. Mtu akizoom hawezi kusoma details
KUPE ziiiiiiiiiiiiiiiiiChawa oyee
Ni jambo jema ili wakulima watajirike kwa kuuza mazao yao bei nzuri. Kama unaona bei kubwa nenda nawe ukalime!!Kwahiyo mnajivunia kilo ya maarage kuwa elfu nne?
Bei za mazao zikiwa chini pia mnailaumu Serikali haiwasaidii wakulima kupata bei nzuri ya mazao yao. Bei ikipanda mnalalama!! Magufuli aliwahi kusema, kama unaona bei ya bidhaa ni kubwa nenda nawe ukalime.Kwa hili nitasimama na Lissu!
Suala sio utofauti wa bei,kati ya nyama na Maharage!
Hoja kubwa ni kwa nini bei za bidhaa hizo ambazo kimsingi,hazitokei Ukraine [emoji1255].
Ng'ombe wamejazana Tanzania, halafu kilo moja inakuwaje 9,000/=. ...why!
Maharage yanalimwa Tanzania [emoji1241], lakimi kilo imefikia kilo shilingi 4,000/= kwa nimi?
Samia ndie alikuwa wa kwanza kushawishi,upandaji wa bei holela,kupitia hotuba zake kadhaa,alipokuwa akitetea Tozo!
Msituone watanzania woye ni makabwela tusiojitambua.
Unapofungua mipaka ya mchi,ili kuwafurahisha baadhi ya watu na kutafuta Political Mileage.
Madhara yanapotokea muwe mnajua mlipokosea na kutoa ufafanuzi!
Leo hii mnatembea mkiwadanganya hao wavaa kijani,na kusubiria Posho,lakini wapiga kura suo hao pekee!
Mkipigwa chini baadae msije kushtuka,kwa sasa endeleeni kukamua buyu la asali.