KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
“Vijana, hatutaki tena kuwa wapiga makofi au wasindikizaji wa viongozi. Tunataka tujitokeze kugombea nafasi mbalimbali – kuanzia ngazi ya Udiwani na Ubunge kwenye Urais tumemaliza yupo Dkt. Samia. Tusiwe tena wabeba mabegi, bali tuwe viongozi,” alisema kwa msisitizo huku akishangiliwa na umati wa vijana waliokuwa ukumbini.
“Kama unayo nia, dhamira na maadili, usiogope kugombea. Watu wengi walioko madarakani leo walianza kama nyinyi. Uongozi hauanzii mbali – unaanzia kwenye kujitokeza,” aliongeza.
Niandikie kimemo basi nijitose, hivi hivi sitoboi hata niandike mapambio kumzidi Lucas 😁Evelyn Salt changamkia fursa za uongozi...
Kwanza unakubidi uvae ujasiri, level zako za ujasiri bado zipo chini sana...Niandikie kimemo basi nijitose, hivi hivi sitoboi hata niandike mapambio kumzidi Lucas 😁
Heee mbona unanivunja moyo, inabidi niwe kama askofu au sioKwanza unakubidi uvae ujasiri, level zako za ujasiri bado zipo chini sana...
Uwe na uwezo wa kutunza siri, hata ukigombezwa na Mama, unapaswa ukenue meno ukisema Mitano tena...Heee mbona unanivunja moyo, inabidi niwe kama askofu au sio
Aaah kudadekiiii nshashindwa uongozi.....😂😂😂 Namuachia Lucas MwashambwaUwe na uwezo wa kutunza siri, hata ukigombezwa na Mama, unapaswa ukenue meno ukisema Mitano tena...
#pumzika salama MdudeKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani.
Akizungumza leo Juni 14,2025 katika ufunguzi wa mafunzo ya Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Ilala, Ndg. Mlao alisisitiza kuwa wakati wa vijana kujiamini na kushika hatamu za uongozi ni sasa.
Ndg. Mlao aliwataka vijana wa CCM kuamka na kuchukua hatua madhubuti katika kujenga mustakabali wa taifa lao kwa kushiriki kikamilifu katika siasa, uongozi na utawala. Alibainisha kuwa CCM inaendelea kutoa fursa nyingi kwa vijana, lakini kinachokosekana mara nyingi ni ujasiri na uthubutu kutoka kwa vijana wenyewe.
Katika mafunzo hayo yaliyolenga kuwajengea uwezo viongozi wa UVCCM katika Wilaya ya Ilala, mada mbalimbali zilijadiliwa zikiwemo: maadili ya uongozi, mbinu za kisasa za siasa, ushiriki wa vijana katika uchaguzi, na umuhimu wa kuzingatia itikadi ya chama.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala, Ndg. Mizungu, aliahidi kuwa baraza hilo litaendelea kushirikiana na vijana wa maeneo yote kuhakikisha wanapata taarifa, mafunzo na msaada wa kitaasisi ili waweze kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa kupitia uongozi.
Kauli ya Ndg. Mlao imepokelewa kwa shangwe na ari kubwa miongoni mwa vijana waliohudhuria, wengi wakieleza kuwa ni wakati wa vijana kushuriki katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba 2025.
Lucas Mwashambwa bado anafurukuta, anatafuta upenyo... hahaha... Ila wewe upenyo tayari unao... kazi kwako...Aaah kudadekiiii nshashindwa uongozi.....😂😂😂 Namuachia Lucas Mwashambwa
Yuko sahihi kabisaa,kuna usemi usemao eti vijana ni Taifa la kesho!Nila kichoyo sana hili.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani.
Akizungumza leo Juni 14,2025 katika ufunguzi wa mafunzo ya Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Ilala, Ndg. Mlao alisisitiza kuwa wakati wa vijana kujiamini na kushika hatamu za uongozi ni sasa.
Ndg. Mlao aliwataka vijana wa CCM kuamka na kuchukua hatua madhubuti katika kujenga mustakabali wa taifa lao kwa kushiriki kikamilifu katika siasa, uongozi na utawala. Alibainisha kuwa CCM inaendelea kutoa fursa nyingi kwa vijana, lakini kinachokosekana mara nyingi ni ujasiri na uthubutu kutoka kwa vijana wenyewe.
Katika mafunzo hayo yaliyolenga kuwajengea uwezo viongozi wa UVCCM katika Wilaya ya Ilala, mada mbalimbali zilijadiliwa zikiwemo: maadili ya uongozi, mbinu za kisasa za siasa, ushiriki wa vijana katika uchaguzi, na umuhimu wa kuzingatia itikadi ya chama.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala, Ndg. Mizungu, aliahidi kuwa baraza hilo litaendelea kushirikiana na vijana wa maeneo yote kuhakikisha wanapata taarifa, mafunzo na msaada wa kitaasisi ili waweze kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa kupitia uongozi.
Kauli ya Ndg. Mlao imepokelewa kwa shangwe na ari kubwa miongoni mwa vijana waliohudhuria, wengi wakieleza kuwa ni wakati wa vijana kushuriki katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba 2025.
Aaah kudadekiiii nshashindwa uongozi.....😂😂😂 Namuachia Lucas Mwashambwa