PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa na Dkt Samia Suluhu Hassan.

3abbb91c-73d1-4435-a5b2-8950c1cd04bd.jpeg
Ndugu Mwaselela, amewaomba watanzania wote kutoka bara na visiwani kwenda kumchangua Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kura nyingi na wagombea wa udiwani kupitia ccm na wabunge kupitia CCM.

"Twendeni tukaionyeshe Dunia kuwa tuna Rais bingwa wa kuleta maendeleo ya wananchi wote ,tuwaambie tuna Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ni bingwa wa Diplomasia na bingwa wa Demokrasia ya kweli". kwa namna ya alivyomchapa kazi hatuna mtu wa kumshinda mgombea wetu Dkt Samia Suluhu Hassan na mgombea mweza Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi.

Wito huo ameutoa, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndugu Stephen Wasira Katika Mkoa wa Kagera.

20b8011a-ac3f-4f52-8e5a-6728b6946859.jpeg

1742816198476.png
 
HAKUNA WA KUSHINDANI NA Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi 2025, MNEC Ndele Mwaselela

Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) ndugu Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa na Dkt Samia Suluhu Hassan.

Ndugu Mwaselela, amewaomba watanzania wote kutoka bara na visiwani kwenda kumchangua Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kura nyingi na wagombea wa udiwani kupitia ccm na wabunge kupitia CCM.

"Twendeni tukaionyeshe Dunia kuwa tuna Rais bingwa wa kuleta maendeleo ya wananchi wote ,tuwaambie tuna Dkt Samia Suluhu Hassan ambae ni bingwa wa Diplomasia na bingwa wa Demokrasia ya kweli".
kwa namna ya alivyomchapa kazi hatuna mtu wa kumshinda mgombea wetu Dkt Samia Suluhu Hassan na mgombea mweza Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi.

Wito huo ameutoa, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndugu Stephen Wasira Katika Mkoa wa Kagera.

#Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
 

Attachments

  • 3abbb91c-73d1-4435-a5b2-8950c1cd04bd.jpeg
    3abbb91c-73d1-4435-a5b2-8950c1cd04bd.jpeg
    766.4 KB · Views: 37
  • 20b8011a-ac3f-4f52-8e5a-6728b6946859.jpeg
    20b8011a-ac3f-4f52-8e5a-6728b6946859.jpeg
    1,001.5 KB · Views: 35
  • 367b4e99-ff7f-4994-a552-2873211df928.jpeg
    367b4e99-ff7f-4994-a552-2873211df928.jpeg
    1.5 MB · Views: 40
Tuko mwezi March, 2025 ikiwa imesalia takribani miezi mitatu ili kampeni za uchaguzi zianze. Lkn cha ajabu anaibuka mjinga mmoja leo kuomba kura kwa wananchi na hakuna taasisi yoyote ya kuhoji,
Tunapaswa kutubu.
 
Bingwa wa maendeleo au wa kukopa? Watu wengine hata aibu hawana, utadhani huko kichwani wamebeba maboksi
 
Back
Top Bottom