Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wanasema mwenye roho mbaya huumizwa mwenyewe.Jiwe alikuwa na moyo unao endeshwa na kifaa kinachotumia umeme. Unaweza kusema alikuwa na moyo wa bandia, hivyo akawa hana moyo wa ubinadamu kabisa. Alikuwa ni nyoka bin ibilisi. Huko aliko afe tena.
Hilo jengo lilikuwa la baba yake Mbowe.Likataifishwa wakapewa NHC lakini Akina Mbowe walikuwa wanaendelea kupanga.Hilo lilikuwa jengo la NHC.
Mbowe alitaka kutumia janjajanja za kichagga kuripora huku akiambiwa kurudisha anaingiza siasa.
Si legacy ya kupendeza.legacy ya mwenda zake.
Meko alikuwa ibilisi si ndio maana akafwaView attachment 1847044
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.
Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Wakivyo wajinga wanajenga sanamulegacy ya mwenda zake.
View attachment 1847044
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.
Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Lilitaifishwa, kwahiyo ni lini walimbinafshishia Mbowe?Hilo jengo lilikuwa la baba yake Mbowe.Likataifishwa wakapewa NHC lakini Akina Mbowe walikuwa wanaendelea kupanga.