Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1625843005803.png

Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.

Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.

Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
 
Jiwe alikuwa na moyo unao endeshwa na kifaa kinachotumia umeme. Unaweza kusema alikuwa na moyo wa bandia, hivyo akawa hana moyo wa ubinadamu kabisa. Alikuwa ni nyoka bin ibilisi. Huko aliko afe tena.
 
View attachment 1847044

Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.

Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.

Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Meko alikuwa ibilisi si ndio maana akafwa
 
bora kafa tupumue
 
Hilo jengo lilikuwa la baba yake Mbowe.Likataifishwa wakapewa NHC lakini Akina Mbowe walikuwa wanaendelea kupanga.
Lilitaifishwa, kwahiyo ni lini walimbinafshishia Mbowe?

Una akili kweli wewe mangi?

Issue ni kwamba hilo jengo ni la NHC na lilirudi kwa mwenyewe.

Siasa siyo kichaka cha kufanya dhulma na uporaji.
 
Back
Top Bottom