Nafasi zingine zipo mkuu. Lakini hii course ni special itanisadia sana haswa kuweza kufanya kazi worldwide. Alafu wamenipa partial scholarship tulikuwa applicants 6000 tumefanikiwa kuchaguliwa watu 20. Kwa hiyo kuipata sio rahisi sana kama course nyingine.Kwamba nafasi zingine hamna kwenye vyuo vingine?
Ukiikosa endelea kutafuta kwingine kama ulivyoitafuta hiyo hadi ukaipata
Nawaza huyo aliekua aipate hiyo nafasi umeshambania tayariNimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.
Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Mkuu ukiwa unaenda ugenini uendaji wako wote utakua managed na Embassy ya nchi husika ambayo iko chini ya Ministry of Foreign Affairs ya nchi hiyo wakishirikiana na idara yao ya Immigration. So Chuo ni taasisi ndogo sana na ya mwisho ambayo inasikiliza hivyo vyombo viwili kama kweli unastahili kwenda huko utaenda na kama hustahili hutoenda hata kama una Admission na Scholarship juu. Ndo maana ukipata Admission/ Scholarship unaomba visa kwa Embassy baadae TRP (Temporary Residency Permit) kutoka Immigration department ya nchi husika. So huo uongo tunaouongelea hapa ambao wadau wanakushauri uutunge hivi vyombo viwili Embassy na Immigration wanaweza kuomba evidence kutoka chuo chako unachoenda ili kujiridhisha na ikibainika ni uongo ndo kama nilivyosema jana kua wana kawaida ya kuingiza records kwenye immigration systems zao ambapo kuna siku itakuja kukugharimu na unaweza shindwa hata kuingia nchi yoyote nyingine ambao wana ushirika nayo mfano Schengen countries.Hujui unachokiongea jielimishe. Huu ni mchakato wa admission office. Mimi nikiamua kuondoka hata leo naondoka nna barua mkononi nina vigezo vyote.
Usikimbilie kujiita PhD ikiwa vitu minor kama hivi huvifahamu.
Shukrani sana mkuu umeongea vizuri ila hii process ni ya chuoni, embassy haiusiki kabisa. Nachotakiwa kuwasilisha kwenye embassy ni admission letter na certificate of scholarship/ payment evidence.Mkuu ukiwa unaenda ugenini uendaji wako wote utakua managed na Embassy ya nchi husika ambayo iko chini ya Ministry of Foreign Affairs ya nchi hiyo wakishirikiana na idara yao ya Immigration. So Chuo ni taasisi ndogo sana na ya mwisho ambayo inasikiliza hivyo vyombo viwili kama kweli unastahili kwenda huko utaenda na kama hustahili hutoenda hata kama una Admission na Scholarship juu. Ndo maana ukipata Admission/ Scholarship unaomba visa kwa Embassy baadae TRP (Temporary Residency Permit) kutoka Immigration department ya nchi husika. So huo uongo tunaouongelea hapa ambao wadau wanakushauri uutunge hivi vyombo viwili Embassy na Immigration wanaweza kuomba evidence kutoka chuo chako unachoenda ili kujiridhisha na ikibainika ni uongo ndo kama nilivyosema jana kua wana kawaida ya kuingiza records kwenye immigration systems zao ambapo kuna siku itakuja kukugharimu na unaweza shindwa hata kuingia nchi yoyote nyingine ambao wana ushirika nayo mfano Schengen countries
Mkuu kama utataka ufafanuzi na tips ndogo ndogo nicheki tutashare mawazo na uzoefu naamini itakusaidia lakini tu hawa jamaa usiwajaribu kuwaongopea kwa kitu ambacho huna evidence za uhakikaShukrani sana mkuu umeongea vizuri ila hii process ni ya chuoni, embassy haiusiki kabisa. Nachotakiwa kuwasilisha kwenye embassy ni admission letter na certificate of scholarship/ payment evidence.
Hilo linaeleweka, lakini unajua kwamba kwenye kuomba visa kuna interview?! Unajua sababu zinazoweza kukunyima visa ya kuingia Sweden?! Maana kila nchi ina vigezo vyake japo vingi ni common. Je unajua kwamba unaweza kunyimwa visa kwa kusema uongo/ kudanganya?! So hatusemi huwezi kwenda ila tunakupa tahadhari za kuchukua. Wanaoamua uende ama usiende ni Embassy na Immigration department. Na unaweza kufika kule ukarudishwa pia kama utaonekana umeenda kinyume na taratibu zao. So Chuo imetumika kama kigezo/ sababu ya wewe kwenda kule ila embassy na immigration ndo wanaamua kama wewe unafaa kwenda kwenye nchi yao ama hufai bila kujali kama una Admission/ scholarship sijui vyeti vyako ni vizuri. Huwezi kukosa Visa na TRP kama uko vizuri ila unaweza kukosa kwa sababu ambayo wewe unaiona ni ndogo sanaShukrani sana mkuu umeongea vizuri ila hii process ni ya chuoni, embassy haiusiki kabisa. Nachotakiwa kuwasilisha kwenye embassy ni admission letter na certificate of scholarship/ payment evidence.
Unarudi kule kuleShukrani sana mkuu umeongea vizuri ila hii process ni ya chuoni, embassy haiusiki kabisa. Nachotakiwa kuwasilisha kwenye embassy ni admission letter na certificate of scholarship/ payment evidence.
Sema umebakwa na huwezi kutembea.Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.
Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Mkuu sonofobia zingatia kwa makini anachokisema huyu jamaa, naona ana point kabisa kwa uzoefu wangu. Najua unamuona kama anazingua kwa vile anaongea kitu tofauti na unachotaka kusikia, lakini jaribu kutafakari hasa alichokisema kwenye hii comment, kwani ndio uhalisia kwa asilimia 100. Usije juta baadae.Mimi nilijua tayari ushapata visa unasubiri tu kuondoka kumbe hata visa bado?! Sasa kua makini na visa interview yako jamaa wana maswali kama uko mahakamani hasa wakiwa na wasiwasi na taarifa unazowapa. Mimi najua Chuo watakubali huo uongo na wanaweza kua tayari kukusubiri hadi utakapokua tayari ila tegemea kuulizwa swali pale embassy kua kwanini umechelewa kwenda wakati admission ulishapewa siku nyingi?! Utakachojibu ndo kinaweza kufungua mjadala mpya. Omba tu wasikutilie shaka maana najua utawapa jibu ambalo uliwapa chuo na walikubali japo embassy wanaweza kulikataa. All in all Visa/ TRP ni bahati nasibu/ betting kwakua tu watu wengi wanapata sana iskupe ujasiri kiasi hicho unaweza kukosa na ukawa sample space ya waliowahi kukosa kwa kigezo cha kutoa taarifa za uongo
Umeleta hapa maombi ya ajabu kabisa. Hebu nenda chuo achana na hizo tabia za wazembe na wajinga. Wenzako wanakomaa kusoma kwenye nchi za vita ili kupeleka ujuzi nyumbani.Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.
Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Sababu pekee ni ugonjwa ndio wanaikubali ningekuwa ni wa kike sababu ya uzazi pia wanaikubali zingine hawataki kuzisikia. Hizo ni lawful reasons.Badala ya kuomba sababu za uongo, ungejaribu Kuwaeleza sababu zako za ukweli zinazokufanya ushindwe kujiunga ila kwa lugha inayoshawishi kwamba ulikuwa una nia ya dhati kabisa kujiunga na chuo (nadhani ushauri unatakiwa uanzie hapa ila ueleze kipi kinakusibu)
Okay sawa. Nimemsoma na kumuelewa vizuri sana ila kwa sasa siwezi kwenda kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu na kuhairisha wana lawful reasons zao either sickness au accident au uzazi/child care kwa kina mama. So ni either nidanganye au niache opportunity ipotee.Mkuu sonofobia zingatia kwa makini anachokisema huyu jamaa, naona ana point kabisa kwa uzoefu wangu. Najua unamuona kama anazingua kwa vile anaongea kitu tofauti na unachotaka kusikia, lakini jaribu kutafakari has alichokisema kwenye hii comment, kwani ndio uhalisia kwa asilimia 100. Usije juta baadae.
Mafua; waambie yamekuwa chronic. Wanaweza wakakutumia hata zawadi kwa taarifa zako nzuri kwaoNimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.
Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Mimi naweza.Mkuu wewe unaweza kufanya jambo hili?
Mimi nimeshauri sijalaumu mkuu,na ushauri ni mawazo ambayo una hiyari uyachukue ama uyawache.Sioni kama ni sahihi kumlaumu Sonofobia kwa hali ilipofikia.
Kwa nini aje kuomba ushauri kwa watu ambao hawajui hali yake ya kiuchumi,asingekuja hapa kuomba ushauri kwa sabau hakuna anayejua hali yake ya kiuchumi hapa kinyume na alivyoelezea yeye.Unamlaumu ilihali hujui hali yake yake ya uchumi?
Yeye ndo anajua nani anagharamia masomo yake,sisi kazi yetu ni kumshauri kwa mujibu wa alivyojipambanua.Nani anagharamia masomo yake?
Yeye ndio anajua,sio mimi wala wewe mkuu.Hali ya familia yake ipoje?
Wewe ndio unasema kuhusu kufa njaa,UNAJUA KUFA NJAA WEWE ?aache familia ikiwa inakufa njaa,
Wewe Ndio unakosa staha kwa kunishambulia maoni ambayo nimetoa huku ukitambua fika kwamba hatufanani mawazo,sijui ulitaka wote tutoe wazo moja ?Kuna wakati tujaribu kuwa na staha kwenye mambo ya msingi.
Wewe ndio nakusikia ukisema kuhusu familia kufa njaa mkuu,binafsi sijawahi kutamka hayo maneno.hapa sio kumwambia mwenzio aache familia inakufa njaa.