Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Umeshindwa kuhangaika na bandari na reserve ya dhahabu ya benki kuu kuuzwa unakuja kuhangaika na tone tone za watu binafsi kama sio utaahira ni nini.
ngoma bado mbichi gentleman,

kamanda lema bado anahoji,
muheshimiwa makamu mwenyekiti,
tarehe A,B,C nilikuunganisha na marafiki zangu ambao walitaka kuichangia chadema, na mbele yangu ukawapa akaunti yako binafsi wakichangie chama, na walichangia milioni mia kadhaa kwenye akaunti yako.

Kwenye ripoti ya fedha iliyosomwa na katibu mkuu na mkurugenzi wa fedha, hakuna taarifa kama uliwasilisha pesa zile za wafadhili kwenye chama.

Unaweza kueleza kikao hiki kwanini hujawasilisha pesa hizo, na ziko wapi?

haijaisha mpaka iishe gentleman 🐒
 
Heche peleka moto kwa haya machoko mpaka yakasimulie mabasha yake
 
Machawa na wapuuzi wengine walishaanza kuleta majungu, upuuzi na uzushi mwingine mwingi
 
Mnafanya makosa yaleyale leo Lema ni kamanda wenu juzi Mbowe alikuwa mwamba wenu,
hata kama mmewatuma mnawaponza mapema sana.
 
Wewe na chama chako ni "waongo wa kuzaliwa" Congenital Liars
anachotuhumiwa nacho heche,
ni kile alichopewa na wafaddhili halafu hajakiwasilisha kwenye chama.

na wanaomuhoji,
wanajua A to Z ufisadi huo wa heche.

anachoeleza mnyika ni out of context 🐒
 
Sishangai kuto ridhika kwako kwa maelezo ya Katibu Mkuu ambae hakuzungumzia pesa zinazokabidhiwa moja kwa moja ( kama zipo). Nahisi jibu limepatikana kwenye vikao vyao. Heche nae angeweza kulitolea ufafanuzi maana litaendelea kutumika kumchafua.

Amandla.....
 
Wakata viuno hoooooooyeeeeeee lumumba buku7 hooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mimi sina haja ya kuridhika gentleman coz bado napambana kutafuta,

in fact katibu mkuu kafanya mkutano wa hadhara tu na sio press conference 🤣
 

INAVYO ONEKANA HAKUNA TUHUMA YOYOTE HAPA; KELELE ZOOTE NI MAMBO TU YA KISIASA.....
HAIWEZEKANI CHAMA B, NDIO KIWE NA UCHUNGU WA MATUMIZI YA PESA ZA CHAMA C WAKATI WANACHAMA WA CHAMA C WENYEWE WANAONA KILA KITU KIPO SAWA...
 
Mnafanya makosa yaleyale leo Lema ni kamanda wenu juzi Mbowe alikuwa mwamba wenu,
hata kama mmewatuma mnawaponza mapema sana.
Hauelewi strategy yao. Hawamsifii Lema ili kumjenga ili kutia wasiwasi kuwa inawezekana anatumiwa. Yote ni katika kuigawa CDM.

Walimpamba Mbowe ili msimchague maana walijua Mbowe ni tishio kuliko Lissu. Mlipomchagua Lissu walifurahi maana walijua kaxi ya kuisambaratisha CDM itakuwa rahisi. Hasa kwa vile wanajua mnapenda mno majungu. Mliingia mkenge kwenye uchaguzi na sasa mnaingia mkenge mwingine. Mtapitishiwa fitna ili muwaone wale ambao ni wafia chama kuwa ni wabaya wenu na mwisho wa siku muwatimue.

Amandla...
 
Mnafanya makosa yaleyale leo Lema ni kamanda wenu juzi Mbowe alikuwa mwamba wenu,
hata kama mmewatuma mnawaponza mapema sana.
in fact chadema wote ni makamanda, but kwa makamanda wa mwaipopo waliufya mkia 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…