Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Mtahangaika sana nyinyi wasukuma uchwara ila kwa wanao jielewa ndiyo hivyo tena washaamua kufanya yao
Huifahamu sukuma land wewe kaa kimya, kama Bulima (Misungwi ikiwemo) kuna wazilankende au wasubi basi sawa, pia hakuna Msukuma anaitwa Mnyika, kwao kuwa Mwanza hakumfanyi awe msukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huifahamu sukuma land wewe kaa kimya, kama Bulima (Misungwi ikiwemo) kuna wazilankende au wasubi basi sawa, pia hakuna Msukuma anaitwa Mnyika, kwao kuwa Mwanza hakumfanyi awe msukuma.
Naona usukumani mnagombania nani msukuma halisi.duh yetu macho...kama mpaka mnakanusha kabila la MTU hatari
 
Huyo hawezi kukubali ukweli maana alisha mezeshwa CD na chakubanga kuwa viongozi wa cdm woote ni wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..sio wote, Mashinji kwao Misungwi tunafahamu na ni Msukuma, huyo chief wenu wa matambiko na uchawi mtafutieni kabila kama mmemnyang'anya la asili.
 
Naona usukumani mnagombania nani msukuma halisi.duh yetu macho...kama mpaka mnakanusha kabila la MTU hatari
Kweli siasa raha sana, nilimis sana hivi vichekesho, nakuona nyuma ya kibodi unavyoandika huku ukivunja mbavu, haya bhana..hahaha
 
Chifu Malonja John John Mnyika

Source: Muungwana Blog

Thread Courtesy of mmawia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…