Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Hahaha muuza chips wa maombi...

Hii nchi kila mtu ni msanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa kutoka IKULU itawajia ili kuzima uchifu wa katibu MKUU wa CHADEMA, atatumbuliwa mtu au mtukufu Rais dokta wa wanyonge atazindua vyoo vya shule. Go Go JJ MNYIKA.
✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾
 
Haiwezekani kuzuia mafuriko ya masika kwa kiganja
Taarifa kutoka IKULU itawajia ili kuzima uchifu wa katibu MKUU wa CHADEMA, atatumbuliwa mtu au mtukufu Rais dokta wa wanyonge atazindua vyoo vya shule. Go Go JJ MNYIKA.
[emoji1479][emoji1479][emoji1479][emoji1491][emoji1491][emoji1491]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh??? Sasa ivi waliompa uchifu utaskia wamepewa kesi ya uraia au wakatekwa au wakapotezwa kabisa kuwatisha wengine wasitoe uchifu kwa CDM

Haya tumeanza kama ivo njooni unyanyembe huku tutawapa uchifu na kikosi cha waluluga tutawakabidhi

Mwaka huu lazima kieleweke!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…