Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Kamwe siwezi na haitatokea kusikiliza mawazo yako wewe mkoloni mweusi
Si ndio sababu nakwambia akili kichwani mwako ni kiduchu? Umeona wapi nikiwa "mramba viatu"?
Kiufupi, unayo matatizo makubwa kuliko unavyojiona mwenyewe.

Wakati mwingine husaidia ukasikiliza wengine wanakwambia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema amejua kuwa hilo ni kabila kubwa haitishiwi nyau!

..unakosea unapomtolea maneno yasiyo mazuri.

..huwezi kujua amepitia mazingira na changamoto gani wakati anakua huku baba akiwa hamtambui.

..Dr.Hamisi Kigwangala naye alikuzwa na mzazi mmoja, mama yake.

Ukisikiliza Dr.Kigwangala akielezea machungu aliyokuwa akiyapata na jitihada alizofanya kumtafuta mzee wake utamuonea huruma.

..Again, tusimshambulie John Michael Dalali Mnyika kwa makosa ambayo siyo ya kwake.

..John did not ask to come to this world and be raised by a single mother.
 
Tumbafu, hakuna chifu wa wasukuma, Kuna chifu wa unyanyembe usumabu ngweli dakama Kiya ngwanza.

Alichofanyiwa mnyika Ni kukagwa, kudangiwa zindiko la kishirikina asijerogwa na watu anaodhani wabaya wake.
 
Waaambie hao wanaojikabidhi hata uwezo wa kumpangia mtu kabila
..unakosea unapomtolea maneno yasiyo mazuri.

..huwezi kujua amepitia mazingira na changamoto gani wakati anakua huku baba akiwa hamtambui.

..Dr.Hamisi Kigwangala naye alikuzwa na mzazi mmoja, mama yake.

Ukisikiliza Dr.Kigwangala akielezea machungu aliyokuwa akiyapata na jitihada alizofanya kumtafuta mzee wake utamuonea huruma.

..Again, tusimshambulie John Michael Dalali Mnyika kwa makosa ambayo siyo ya kwake.

..John did not ask to come to this world and be raised by a single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ya kichawi unayajua wewe mchawi mwenzao

Back
Top Bottom