Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
TANGAZO LA JOHN MNYIKA

Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.

Uteuzi wa Wazee Wastaafu hawa umefanywa na Kamati Kuu katika kikao chake cha tarehe 11 Januari 2025 kwa kuzingatia Kanuni za Chama kifungu cha 7.3 juu ya Taratibu za Kusimamia Chaguzi na kupiga kura Kipengele cha 7.3.1
 
Mfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
TANGAZO LA JOHN MNYIKA

Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.

Uteuzi wa Wazee Wastaafu hawa umefanywa na Kamati Kuu katika kikao chake cha tarehe 11 Januari 2025 kwa kuzingatia Kanuni za Chama kifungu cha 7.3 juu ya Taratibu za Kusimamia Chaguzi na kupiga kura Kipengele cha 7.3.1
WOTE WATU WA MBOWE LISSU KALIWA KICHWA MAPEMAAAAA
 
Mbona kama MBOWEISM wametawala sana. Lissu hachomoki kwa wajumbe hawa
 
Hii ndiyo barua au Tangazo la Katibu Mkuu wa Chadema😳😳😳😳

Hawana headed letter🥺
 
Kati ya watu 8 wa5 wachaga,wawili wamasai mmoja muhaya. Risu Hana chake. Huu ndio upuuzi wa chadema.chama cha Kilimanjaro hiki. Hata kubalansi mambo inashindwa kabisa.
 
Mbona kama MBOWEISM wametawala sana. Lissu hachomoki kwa wajumbe hawa
Namshauri Mnyika aingoze
1. Mwambukuswa
2. Mdudwe
3. Mariya akiwa online
4. Madelekwa
Kama waangalizi wa nje ya chadema
 
Kati ya watu 8 wa5 wachaga,wawili wamasai mmoja muhaya. Risu Hana chake. Huu ndio upuuzi wa chadema.chama cha Kilimanjaro hiki. Hata kubalansi mambo inashindwa kabisa.
Mlianza uislam sasa mumehamia ukabila baada 98% wasiowaislam. Mnatabu nyinyi
 
Wakili Msomi Edson Mbogoro Kitambo sana pale Songea dadeki 😂😂

Mungu wa Mbinguni ambariki nilikuwa naye NCCR Mageuzi enzi za Mwalimu wangu Kibassa mbunge wa kwanza wa Upinzani Unyaluni 😂😂😂
 
Ruth molel ni team mbowe & team lowasa. Lisu hapo unapgwa mapema
 
Back
Top Bottom