Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kama MBOWEISM wametawala sana. Lissu hachomoki kwa wajumbe hawa
Umepewa ubongo walau fikiri kidogo.

Uchaguzi una mchakato wa hatua mbalimbali kuanzia kuhakiki wapiga kura hadi upigaji kura na uhesabuji ambapo Lissu atakuwa na wakala wake yeye binafsi na pia mchakato mzima utafanyika hadharani.
 
Mushi
Mosha
Mollel

Kule kule
Kuna watu katika Jamii,ambao juu ya sentiments za kikanda, kikabila ,kidini, nk, mfano , chukulia Mzee Warioba, leo hii mkabidhi Kazi ya kusimamia uchaguzi Kati ya CCM (chama chake) dhidi ya CUF, ikitokea CUF wameshinda atasema bila shaka kwamba CUF wameshinda dhidi ya CCM. Hao wote walio tajwa kusimamia uchaguzi, wameshavuka level za kufikiria ukabila na ukanda ,wanajitambua bila kujali washindani ni nani na nani katika uchaguzi huo!
 
Huyo Mama Ruth Mollel yupo vizuri sana na hanaga njaa
 
Kati ya watu 8 wa5 wachaga,wawili wamasai mmoja muhaya. Risu Hana chake. Huu ndio upuuzi wa chadema.chama cha Kilimanjaro hiki. Hata kubalansi mambo inashindwa kabisa.
wakifanya upuuzi ili tu mbowe ashinde wakati inaonekana wazi hatakiwi watakiua chama mazima
 
sasa hata hao mawakala wakifumbwa midomo kwa kitu kizito watasema nini?
Binadamu 'wapuuzi', hata uwafanyie vipi, hawana zuri! Hapa, ni katika kutengeneza sababu. Uchaguzi ndio huu, kama wewe ni mpiga kura, kamchague unayemtaka!
 
Kuna watu katika Jamii,ambao juu ya sentiments za kikanda, kikabila ,kidini, nk, mfano , chukulia Mzee Warioba, leo hii mkabidhi Kazi ya kusimamia uchaguzi Kati ya CCM (chama chake) dhidi ya CUF, ikitokea CUF wameshinda atasema bila shaka kwamba CUF wameshinda dhidi ya CCM. Hao wote walio tajwa kusimamia uchaguzi, wameshavuka level za kufikiria ukabila na ukanda ,wanajitambua bila kujali washindani ni nani na nani katika uchaguzi huo!
Mzee Warioba hajAwahi kuwa CCM ila wakati akiwepo CCM ilikuwa inaongoza
 
Back
Top Bottom