Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TANGAZO LA JOHN MNYIKA

Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.

Uteuzi wa Wazee Wastaafu hawa umefanywa na Kamati Kuu katika kikao chake cha tarehe 11 Januari 2025 kwa kuzingatia Kanuni za Chama kifungu cha 7.3 juu ya Taratibu za Kusimamia Chaguzi na kupiga kura Kipengele cha 7.3.1
3,5,7,8 timu Mwenye kigoda.
 
Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.
Mbona orodha Ina wachaga wengi?? Mbowe asije akabebwa na mbeleko ya ukabila!
 
Namshauri Mnyika aingoze
1. Mwambukuswa
2. Mdudwe
3. Mariya akiwa online
4. Madelekwa
Kama waangalizi wa nje ya chadema
1. Maria Sarungi.
2. Fatuma Karume.
3. Peter Kibatala.
4. Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula.
5. Father Kitima.
 
Angeongeza wasimamizi wawili toka chama rafiki CCM wasaidiane na hao nane. WanaCCM wawili wangejitolea bure kabisa.
 
Wakili Msomi Edson Mbogoro Kitambo sana pale Songea dadeki 😂😂

Mungu wa Mbinguni ambariki nilikuwa naye NCCR Mageuzi enzi za Mwalimu wangu Kibassa mbunge wa kwanza wa Upinzani Unyaluni 😂😂😂
Aseee jamaa kumbe umri umekusogea sana asee.... daaaaah
 
Lissu karidhika? Asije kusema hakushirikishwa!!
 
TANGAZO LA JOHN MNYIKA

Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.

Uteuzi wa Wazee Wastaafu hawa umefanywa na Kamati Kuu katika kikao chake cha tarehe 11 Januari 2025 kwa kuzingatia Kanuni za Chama kifungu cha 7.3 juu ya Taratibu za Kusimamia Chaguzi na kupiga kura Kipengele cha 7.3.1
Hah hah hawa wote ni team Mbowe, wengi wao nawafahamu kindakindaki, hii Chagga Development Manifesto itabaki mali ya Dj Kim Il Sung, mwenyekiti wa maisha.
 
Umepewa ubongo walau fikiri kidogo.

Uchaguzi una mchakato wa hatua mbalimbali kuanzia kuhakiki wapiga kura hadi upigaji kura na uhesabuji ambapo Lissu atakuwa na wakala wake yeye binafsi na pia mchakato mzima utafanyika hadharani.
Nimekuelewa Daniel Naftari kijana wa Mbowe. Hahahahaa
 
Back
Top Bottom