Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
3,5,7,8 timu Mwenye kigoda.
 
Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli Kasyupa
7. Prof. Raymond Mosha
8. Ruth Mollel.
Mbona orodha Ina wachaga wengi?? Mbowe asije akabebwa na mbeleko ya ukabila!
 
Namshauri Mnyika aingoze
1. Mwambukuswa
2. Mdudwe
3. Mariya akiwa online
4. Madelekwa
Kama waangalizi wa nje ya chadema
1. Maria Sarungi.
2. Fatuma Karume.
3. Peter Kibatala.
4. Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula.
5. Father Kitima.
 
Angeongeza wasimamizi wawili toka chama rafiki CCM wasaidiane na hao nane. WanaCCM wawili wangejitolea bure kabisa.
 
Wakili Msomi Edson Mbogoro Kitambo sana pale Songea dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu wa Mbinguni ambariki nilikuwa naye NCCR Mageuzi enzi za Mwalimu wangu Kibassa mbunge wa kwanza wa Upinzani Unyaluni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aseee jamaa kumbe umri umekusogea sana asee.... daaaaah
 
Lissu karidhika? Asije kusema hakushirikishwa!!
 
Hah hah hawa wote ni team Mbowe, wengi wao nawafahamu kindakindaki, hii Chagga Development Manifesto itabaki mali ya Dj Kim Il Sung, mwenyekiti wa maisha.
 
Umepewa ubongo walau fikiri kidogo.

Uchaguzi una mchakato wa hatua mbalimbali kuanzia kuhakiki wapiga kura hadi upigaji kura na uhesabuji ambapo Lissu atakuwa na wakala wake yeye binafsi na pia mchakato mzima utafanyika hadharani.
Nimekuelewa Daniel Naftari kijana wa Mbowe. Hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…