Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.

Tutawapiga. Sina shaka na hilo.
Hajasema Lissu, kasema CHADEMA akimaanisha Salum Mwalimu. Aliyekatazwa kufanya kampeni ni Lissu sio CHADEMA kama taasisi naomba hili lieleweke
 
Mataga mna ofisi nzuri saana lakini mgombea wenu wa urais amekataliwa kila mahali hadi imefika hatua anaomba kura kwa kupiga magoti [emoji1787]
CCM ni chama pekee kinawaheshimu waajiri wao yaan rais anawaheshimu waajiri wake kwamaana ya wananchi ndio maana anawapigia magoti, na kuhusu yale mnayoita matusi ni utani tu ambao sisi watanzania na wabantu tumezoea kutaniana kila siku..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
hali ya ofisi za makao makuu ya chama "kikuu" cha upinzani ni ishara ya ufisadi.
1601802139819.png

1601802173253.png

Milioni 320 na ushee kila mwezi zimefanya haya.
 
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.

Wote mnakaribishwa.

Maendeleo hayana vyama!
Suala sio kuendelea na kampeni,tunachohitaji ni hoja za ku justify wao kuendelea na kampeni,(nothing more nothing less in TL voice/tone)!!
 
Hajasema Lissu, kasema CHADEMA akimaanisha Salum Mwalimu. Aliyekatazwa kufanya kampeni ni Lissu sio CHADEMA kama taasisi naomba hili lieleweke

Hata wewe umeanza kushtukia kwamba Tundu ni bogus na anaua chadema eeh, ...
 
Hata wewe umeanza kushtukia kwamba Tundu ni bogus na anaua chadema eeh, ...
Nimeweka tu rekodi sawa ila hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na adhabu ya tume.

WaTZ wanaona na bila kujua mtampa na kura za huruma hata kwa wasiopanga kumpigia.

Kibaya zaidi mkishinda kihalali no one ataamini sababu mlimzuia mpinzani asipige kampeni wiki nne kabla ya uchaguzi.

Mnazidi kujiharibia tu, Bashiru ana PhD lakini hata reasoning ya kawaida inamshinda.
 
Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.

Tutawapiga. Sina shaka na hilo.
Hivi unajua kitendo cha tume kunyamazia uvunjifu wa maadili ya uchaguzi unofanywa na CCM tayari ni kuiadhibu kambi ya upande mwingine? Hapo hatujaongelea engua engua ya wagombea. Sasa kuathibiwa kumezoeleka. Ni kusonga mbele kwa mbele. Mambo yatakapoharibikia tutajua lakufanya. Haki ndivyo inavyotafutwa. No retreat, no surrender!
 
Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.

Tutawapiga. Sina shaka na hilo.
Litakuwa kosa kubwa sana kuwaacha, watakuja kupindua matokeo wakijua hatuna la kuwafanya hapa ni bampa tu bampa bora uchaguzi uharibike ili tupate tume huru ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom