Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
169
Reaction score
465
Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize

Huyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana

Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo

Subiri October tuwanyooshe
 
Tunawapiga chini wanachelewesha maendeleo

Namna pekee wanachelewesha
maendeleo ni fedha za umma kutumika kuwanunua na kuwapoteza!!

Otherwise pelekeni maendeleo sehemu ambazo hawako. Ikizingatiwa ni Ilani ya CCM inayotekelezwa.

Ni rahisi sana kuwatambua watu walio na kiwango cha chini cha ufahamu kama wewe. Na mkuu wa nchi anasema “maendeleo hayana vyama”. Taifa hili ni moja ya wonders za dunia!!
 
Usinitishe

Yaani tume iko mfukoni kwa ccm na bila viongozi makini kama mnyika wala tusingejua hayo madudu yaliyopo kwenye hiyo rasimu kwani mamluki wengine kama TLP,CUF na NCCR walikuwa wanakimbilia tu kusaini bila hata kujua wanasaini kitu gani
 
Hii ni hatari kuwa eti kuna uchaguzi huru na wa haki
 
Huyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana

Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo

Subiri October tuwanyooshe
In general wabunge asilimia 75 wanahali mbaya majimboni kwao sio waupinzani wala wale wa chama tawala.....
 
Nitajie jumbo moja LA ccm lenye maendeleo na ndio maana wanataka tuendelee kuwa masikini ili watutawale vizuri ila kwenye maendeleo ccm hawakubaliki na ndio maana chadema iliongoza kwenye mini mikubwa yenye wasomi wengi angalia kongwa kwa ndugai ni mfano tu
Ila ukiangalia kwa jicho la tatu majimbo ya upinzani yana maendeleo sana kuliko yale ya CCM ikoje hii mkuu
 
Back
Top Bottom