sanshinda
Member
- Sep 25, 2017
- 79
- 33
Kwa hiyo nyie wapinzani mmeona njia pekee ya kufanya siasa ni kupotosha tu? Mnyika ameonekana kupitia vyombo mbalimbali vya habari akichangia maoni yake kwenye rasimu hiyo kwenye kikao kilichoitishwa na Tume kwa ajili ya vyama vya siasa kujadili na kupitisha rasimu. Sasa leo hii mnasema vyama vimeshurutishwa? Wanafiki wakubwa nyie.