DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Kuwanyooshaje mkuu? Au lengo ni wananchi kupata maendeleo? SijakuelewaHuyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana
Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo
Subiri October tuwanyooshe
Kuwanyooshaje mkuu? Au lengo ni wananchi kupata maendeleo? Sijakuelewa
Ila ukiangalia kwa jicho la tatu majimbo ya upinzani yana maendeleo sana kuliko yale ya CCM ikoje hii mkuuTunawapiga chini wanachelewesha maendeleo
Ila ukiangalia kwa jicho la tatu majimbo ya upinzani yana maendeleo sana kuliko yale ya CCM ikoje hii mkuu
Vipi mkuu unashangaa au hilo hulijui?Aa wapi!
Hali ni mbaya sanaJamani kama hali ipo hivyo hakuna sababu ya kushiriki huo uchaguzi kama vipi tudai kwanza tume huru ndipo tuingie kwenye uchaguzi,tujue tunamkoloni mweusi ccm atatusababishia machafuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawapiga chini wanachelewesha maendeleo
Namna pekee wanachelewesha
maendeleo ni fedha za umma kutumika kuwanunua na kuwapoteza!!
Otherwise pelekeni maendeleo sehemu ambazo hawako. Ikizingatiwa ni Ilani ya CCM inayotekelezwa.
Ni rahisi sana kuwatambua watu walio na kiwango cha chini cha ufahamu kama wewe. Na mkuu wa nchi anasema “maendeleo hayana vyama”. Taifa hili ni moja ya wonders za dunia!!
Aisee kumbe wewe ni robot!!Usinitishe
Hii ni hatari kuwa eti kuna uchaguzi huru na wa hakiYaani tume iko mfukoni kwa ccm na bila viongozi makini kama mnyika wala tusingejua hayo madudu yaliyopo kwenye hiyo rasimu kwani mamluki wengine kama TLP,CUF na NCCR walikuwa wanakimbilia tu kusaini bila hata kujua wanasaini kitu gani
itahesabiwa kura yako peke yako au za wananchi wote mpaka useme utampiga chini?Huyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana
Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo
Subiri October tuwanyooshe
itahesabiwa kura yako peke yako au za wananchi wote mpaka useme utampiga chini?
In general wabunge asilimia 75 wanahali mbaya majimboni kwao sio waupinzani wala wale wa chama tawala.....Huyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana
Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo
Subiri October tuwanyooshe
humtaki peke yako.Wananchi wote hawamtaki
Ila ukiangalia kwa jicho la tatu majimbo ya upinzani yana maendeleo sana kuliko yale ya CCM ikoje hii mkuu