emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Hivi mbunge anacheleweshaje maendeleo ilihali ilani inayotumika ni ya ccm, bado inayopeleka maendeleo au pesa ni serikali sasa labda kama serikali inahujumu majimbo baadhi kwa kuchelewesha kupeleka hizo fedha za maendeleo za walipa kodiTunawapiga chini wanachelewesha maendeleo
Hivi mbunge anacheleweshaje maendeleo ilihali ilani inayotumika ni ya ccm, bado inayopeleka maendeleo au pesa ni serikali sasa labda kama serikali inahujumu majimbo baadhi kwa kuchelewesha kupeleka hizo fedha za maendeleo za walipa kodi
ukipinga Kuna cheleweshaje barabara kujengwa na uchumi wa nchi kukua, kwani mbona Kuna wabunge ambao wanakubaliana na mambo Fulani au budget Fulani na bado hazitekelezeki...Wanapinga kila kitu
Mtu akipinga anacheleweshaje maendeleo mkuu??Wanapinga kila kitu
Wanajua hawajafanya kitu kwa wananchiCCM katika ubora wake wa kujikita kwenye utawala .
Ikiwa Magufuli na chama chake wanapendwa kwa kuleta maendeleo nchini wasingelifanya vitimbwi hivi.
Woga umewashika, lakini mimi naona Hawana salama, Mwaka huu Hata Hao CCM wenyewe wamewachoka Mno.
Nenda Hai wazee hawajamuona mbunge wao miaka miwili. Mpaka vijana ilibidi wamzomee.Ila ukiangalia kwa jicho la tatu majimbo ya upinzani yana maendeleo sana kuliko yale ya CCM ikoje hii mkuu
Yaani tume iko mfukoni kwa ccm na bila viongozi makini kama mnyika wala tusingejua hayo madudu yaliyopo kwenye hiyo rasimu kwani mamluki wengine kama TLP,CUF na NCCR walikuwa wanakimbilia tu kusaini bila hata kujua wanasaini kitu gani
Pinga kwa hoja.Aa wapi!
Jamani kama hali ipo hivyo hakuna sababu ya kushiriki huo uchaguzi kama vipi tudai kwanza tume huru ndipo tuingie kwenye uchaguzi,tujue tunamkoloni mweusi ccm atatusababishia machafuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadai mwenyewe acha kusemea nafsi za watu kiongozi.Jamani kama hali ipo hivyo hakuna sababu ya kushiriki huo uchaguzi kama vipi tudai kwanza tume huru ndipo tuingie kwenye uchaguzi,tujue tunamkoloni mweusi ccm atatusababishia machafuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama sio kahaba basi huna tofauti na kahaba, kwanini hupendi kujadili mada unarukia ishu zingine? Kwahiyo waitara huko ukonga ndio yupo vizuri?Huyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana
Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo
Subiri October tuwanyooshe
Wewe kama sio kahaba basi huna tofauti na kahaba, kwanini hupendi kujadili mada unarukia ishu zingine? Kwahiyo waitara huko ukonga ndio yupo vizuri?
CCM bana halafu oooh CHADEMA imekufa mbona mnatapatapa sana yani mnahaha ulimi unawatoka bwana "Bia Yetu" vipi mbona mchecheto mara kubadilisha vipengele mara Mbowebadhirifu yaani hamtuliiHuyu Mnyika jimboni kwake ana hali mbaya sana
Badala ya kwenda kushughulikia vimeo jimboni kwake anapiga porojo
Subiri October tuwanyooshe
I nilijua tu maccm ndio akili zenuWhore than your beautiful mam?
Naona umeipenda hii Avatra yangu, Nikuachie wewe?Pinga kwa hoja.
Unalinganishaje jimbo la sugu mbeya na la Tanga kule waliko ccm au Hai na kwa Kandege Kalambo Rukwa.
Sent using Jamii Forums mobile app