Ushauri tu kwa vyote vya siasa nendeni kwenye uchaguzi Mkuu mkiwa tiyari mmekaa meza moja na kujadili njia sahii ya kufanikisha uchaguzi ,huku kila chama kikiwa na mkakati wake wa ndani jinsi ya kufanikisha ushindi kwa chama kingine .Rafu za waziwazi zinaweza tupeleka pabaya kama taifa .Naona umeipenda hii Avatra yangu, Nikuachie wewe?
Tuwekee hayo yaliyojadiliwa na Mnyika akishiriki.Kwa hiyo nyie wapinzani mmeona njia pekee ya kufanya siasa ni kupotosha tu? Mnyika ameonekana kupitia vyombo mbalimbali vya habari akichangia maoni yake kwenye rasimu hiyo kwenye kikao kilichoitishwa na Tume kwa ajili ya vyama vya siasa kujadili na kupitisha rasimu. Sasa leo hii mnasema vyama vimeshurutishwa? Wanafiki wakubwa nyie.
Kuanzia mwaka 1965-1995 hakukuwa na vyama vya upinzani sasa tueleze katika kipindi hicho ni maendeleo gani makubwa yaliyofanyika ktk nchi hii make wengine tumekuwepo kwa kipindi chote hicho.Tunawapiga chini wanachelewesha maendeleo
Kuanzia mwaka 1965-1995 hakukuwa na vyama vya upinzani sasa tueleze katika kipindi hicho ni maendeleo gani makubwa yaliyofanyika ktk nchi hii make wengine tumekuwepo kwa kipindi chote hicho.
Kwani walitaka wamuone au walihitaji kutatuliwa kero zao?Nenda Hai wazee hawajamuona mbunge wao miaka miwili. Mpaka vijana ilibidi wamzomee.
Ahaaaa. Anatatua kero kwa kutumia remote controllerKwani walitaka wamuone au walihitaji kutatuliwa kero zao?
Undumi la kuwili wa kiwango cha PhD yani ni kama kuchukua posho Bungeni na kujifanya mnagomea vikao. Uzandiki mtupu.Tuwekee hayo yaliyojadiliwa na Mnyika akishiriki.
Kushiriki kwa Mnyika ndio tuchukulie kwamba yaliyojadiliwa yamekubaliwa ni ya maslahi kwa nchi yetu?
Yawekeni wazi watu wayachambue, kama yapo yasiyostahiri kuwepo yaondolewe.
Akija mwili wake ndo unatatua kero? Vijana mna tatizo la kufikiria sanaAhaaaa. Anatatua kero kwa kutumia remote controller
Sawa. Hatakiwi kwenda mwambie aendeleze lockdown Dodoma.Akija mwili wake ndo unatatua kero? Vijana mna tatizo la kufikiria sana
Mkuu, ulielewa nilichoandika?Undumi la kuwili wa kiwango cha PhD yani ni kama kuchukua posho Bungeni na kujifanya mnagomea vikao. Uzandiki mtupu. View attachment 1462798