Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hata Trump anatoaga maelekezo kwa Twitter. Juzi kagame katuma salamu za polee kwa Mkapa kupitia Twitter.Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Chadema na watanzania ni watu wa amani. Kama fujo na matatizo wataleta polisi na ubabe waoMoto utawaka.....
Hiyo itategemea kama Jeshi la Polisi halitamtia nguvuni siku.Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Wa Bibi yako.Anaenda kwenye Msiba wa Nani??
Kwani nani anahusika na shambulio la Lisu ?Hapo CHADEMA mtasababisha mtu fulani ashindwe kuhudhuria mazishi. Au hata na yeye anaweza kupata cardiac arrest.
Kumuangalia uliyemuua kwa risasi 16 halafu akafufuka yataka moyo!!
Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.This is Chadema I know. Kudos Mnyika. There is no way Hussein Mwinyi anapokelewa Zanzibar kuanzia AirPort na shamrashamra kibao alafu kumpokea Lissu iwe nongwa.
hatofika msibani ,liweke hili kichwani hatofika msibaniThat's good kuwahi msiba
Watz walivyo waoga wanaweza wasifike hata 50Twende ni kumpokea shujaa wetu. Twendeni kwa amani, twendeni huku tukionyesha kuwa sie ni watu wa amani, si watu wa fujo.
Kama fujo waanzishe polisi, kama kuua waue polisi. Tuone kama wanaweza kutupiga risasi watu 1000 au 2000 tutakaokuwa tumeenda kumpokea shujaa wetu
Magufuli wakati anakemea shambulio la Lisu aliandika twita, je na yeye ni mwanachama wa Saccoss hiyo ?Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Endeleeni kuonesha ujinga wenu hadharani. Kwa iyo unamaanisha mmeshawachagulia wazanzibar raisi???Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
Ni yule mtanzania mwenye roho mbaya kuliko shetani.Kwani nani anahusika na shambulio la Lisu ?
Anaitwa nani ?Ni yule mtanzania mwenye roho mbaya kuliko shetani.
Ilo halina ubishiEndeleeni kuonesha ujinga wenu hadharani. Kwa iyo unamaanisha mmeshawachagulia wazanzibar raisi???
Mnayemuaga leo alijutia huo upuuzi alafu nyie badala ya kujifunza mnauendeleza. Kumbukeni watanzania wa leo sio wa mwaka 2000