Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

At least huyu mwanaCDM mwenzako ana akili ya kujua kuwa hatutaki kuambiwa mambo tunayoyajua.
Sisimizi wewe. View attachment 1634462
Peleka upuuzi huko.
Mimi sio mwanachama wa Chadema kama ndicho unachomaanisha.

Halafu kama hujaridhika na maelezo ya huyo katibu wao si unaweza ku-hire private investigator awachunguze.
Idiot.
 
Hakuna tena kitu au chama kinacho itwa chadema.
eti chama kikuu cha upinzani nchini!!! loo!!!Halima mdee Oyeee!! mwenyekiti wa umoja wa wanawake oyeee!! Tanzania kwanza vyama badae.
 
Inamaana unataka kusema kuwa wanawake wote 19 walienda kula kiapo bila hata mmoja wao kumwaga bosi wao? Dahh

Kulikuwa hamna umuhimu wa wao kufanya hivyo. Kitu cha kujiuliza ni kuwa kama kweli walipata baraka za chama chao kwa nini walienda peke yao kwa kujificha? Kwa nini wavaa magwanda maarufu kama wakina Halima, Esther wawili hawakuvaa nguo yeyote ya chama chao kuonyesha kuwa wanajivunia kuteuliwa na chama chao? Katika watu 19 ni watatu tu ndio waliovaa kitu kinachofanana na vazi rasmi la chama chao. Wengine waliona aibu kufanya hivyo.

Amandla...
 
Bado huku mtaani tunaendelea kutafakari tofauti ya Silinde na hawa 19🤔
 
Sasa ndo atolewe gerezani usiku kwenda kuapishwa wakati hata form za uteuzi hajajaza na kuapa mbele ya hakimu hapo huo uteuzi umekaaje au zile form za viapo vyao ni hiayari siyo lazima
Kwani aliyetolewa mahabusu ni yeye pekee yake?
"Hivi viti siyo vya hisani" by Halima Mdee!
Pinguzeni wivu, mbona mwenye chama katulia tu
 
Ni historia nyingine imeandikwa Tanzania ambapo mtu akiwa rumande ateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA.
Swali ni kuwa:
1. Nani kamteua?
2. Nani kamtoa Rumande?
3. Je kesi yake ya uchochezi ndio imeisha?

Kuna mambo yanafikirisha sana. Ngoja nichukue jembe nikalime.
 
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao.

Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa Mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Mahakama zipi ? Hizihizi za Jiwe , zinazosainisha na kuapisha kina Nusrat wakiwab jela ? Zilizoamua kesi za wakurugenzi kusimamia uchaguzi ?
 
Mh. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kitoto namna hii... !! Hawezi kubariki mambo nje ya vikao halali vya chama.
Alipokuwa akibariki mambo mengine huko nyuma ambayo yalikuwa nje ya vikao vya chama mpaka wabunge wakawa wanakimbia chama mlikaa kimya,ila hili ndio mnaona la kitoto hawezi kulifanya,naona dawa inaingia sasa kwenye damu...
 
Ni historia nyingine imeandikwa Tanzania ambapo mtu akiwa Rumande ateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA.
Swali ni kuwa:
1. Nani kamteua?
2. Nani kamtoa Rumande?
3. Je kesi yake ya uchochezi ndio imeisha?
Kuna mambo yanafikirisha sana.
Ngoja nichukue jembe nikalime.
2×2-4=
 
Kuna nguvu anayo DPP inaitwa nolle proseque hii inampa DPP uwezo wa kufuta kesi mahakama au kujitoa kutoendelea na mashataka..
Ndio imetumika hapa na Dola
 
Waandishi wa habari wa Tanzania wanamaswali ya kipumbafu sana . Badala yaulize key questions kutoka source of information yanauliza maswali ya kubuni ya kufikirika .
 
Ni historia nyingine imeandikwa Tanzania ambapo mtu akiwa Rumande ateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA.
Swali ni kuwa:
1. Nani kamteua?
2. Nani kamtoa Rumande?
3. Je kesi yake ya uchochezi ndio imeisha?
Kuna mambo yanafikirisha sana.
Ngoja nichukue jembe nikalime.
Tatizo lenu ni badala ya kujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.
 
1. Mbowe atamaliza muda wake na NYALANDU atachukua uenyekiti.

2. Mnyika Atastaafu SIASA kama DR Slaa.

3. Nyalandu atagombea Uraisi na Majaliwa na CCM itashinda 85% hapo 2025.

Ahsanteni.
 
Kweli "adui wako muombee njaa"; adui akiwa na njaa basi ujue utamshinda.

Njaa ya wanachadema ndio inasababisha wengi wao wanunuliwe kama bidhaa sokoni/dukani.

Kila la kheri Taifa la wenye njaa.
 
Back
Top Bottom