Peleka upuuzi huko.At least huyu mwanaCDM mwenzako ana akili ya kujua kuwa hatutaki kuambiwa mambo tunayoyajua.
Sisimizi wewe. View attachment 1634462
Na dawa za kutuliza maumivu ya kichwa zimenunuliwa sana hizi siku mbili.Ila wanawake wa CCM ndio wanayumba yumba kama walevi na hawaheshimu/hawana misimamo.
Inamaana unataka kusema kuwa wanawake wote 19 walienda kula kiapo bila hata mmoja wao kumwaga bosi wao? Dahh
Kwani aliyetolewa mahabusu ni yeye pekee yake?Sasa ndo atolewe gerezani usiku kwenda kuapishwa wakati hata form za uteuzi hajajaza na kuapa mbele ya hakimu hapo huo uteuzi umekaaje au zile form za viapo vyao ni hiayari siyo lazima
swali gani hili sasa?Wahisani wana taarifa za hao wasaliti?
Nilimaanisha wanajua kinachoendelea?swali gani hili sasa?
hebu nisaidie kujijibu mwenyewe.
Mahakama zipi ? Hizihizi za Jiwe , zinazosainisha na kuapisha kina Nusrat wakiwab jela ? Zilizoamua kesi za wakurugenzi kusimamia uchaguzi ?Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa Mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
watajuaje sasa?Nilimaanisha wanajua kinachoendelea?
Alipokuwa akibariki mambo mengine huko nyuma ambayo yalikuwa nje ya vikao vya chama mpaka wabunge wakawa wanakimbia chama mlikaa kimya,ila hili ndio mnaona la kitoto hawezi kulifanya,naona dawa inaingia sasa kwenye damu...Mh. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kitoto namna hii... !! Hawezi kubariki mambo nje ya vikao halali vya chama.
2×2-4=Ni historia nyingine imeandikwa Tanzania ambapo mtu akiwa Rumande ateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA.
Swali ni kuwa:
1. Nani kamteua?
2. Nani kamtoa Rumande?
3. Je kesi yake ya uchochezi ndio imeisha?
Kuna mambo yanafikirisha sana.
Ngoja nichukue jembe nikalime.
Basi dunia siyo kijiji,walimu wa Civics walitudanganya.watajuaje sasa?
Hahahaa2×2-4=
Tatizo lenu ni badala ya kujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.Ni historia nyingine imeandikwa Tanzania ambapo mtu akiwa Rumande ateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA.
Swali ni kuwa:
1. Nani kamteua?
2. Nani kamtoa Rumande?
3. Je kesi yake ya uchochezi ndio imeisha?
Kuna mambo yanafikirisha sana.
Ngoja nichukue jembe nikalime.