Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini alichosema mdee usiamini maigizo ya mnyika!Ni swali la msingi kuwa iwapo chadema wataamua kufuata taratibu na kuwaandikia NEC majina ya wabunge wa viti maalumu na ku-prove wrong hiyo wanayoiita fake ya kina mdee itakuwaje ?
Naona badala ya kupiga ramli tu kwenye media waende mbele kabisa wateuwe wapya na waweke majina kwenye media kuonesha kuwa ile haikuwa list yao?
USSR
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waswahili wanasema muosha huoshwa. Makamanda tulikuwa tunaita baadhi ya viongozi na vyama vyao kuwa ni CCM B, sasa Kamanda Mdee, Kamanda Bulaya, kamanda Matiko na makamanda wengine wamethibitisha hata CHADEMA ni CCM tena CCM A.
Makamanda wote sema #Niyeye[emoji23][emoji23][emoji23] Makamanda tuingie barabarani [emoji23][emoji23][emoji23]
This theory is obsolete! Nyerere did not think of Tanzania ending in a dictator regimeNiko natafakari nukuu mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Nadhani tangu asubuhi ya leo wanachadema wanakiri kwamba Chadema siyo baba wala mama yao.
Karibuni nyote CCM ili kwa pamoja tujenge taifa letu.
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna sehem yeyote ilighushiwaSijaona kwenye amiri za Mungu, inayosema 'usiasi' wala 'usisaliti', lakini kuna amri ya Mungu inayosema 'Usiseme UONGO'...
We unajua siasa? nyau we, ndani ya ccm hakuna mambo ya ngono kwani ni chama kikubwa chenye wanachama wengi na utaratibu unaofahamika wazi wa kuwapata viongozi, sio km chadema ambakomifumoyake haieleweki wazi. leo hii watu waliokua wanagombea ubunge kwenye majimbo ndio wamepewa viti maalumu na walioandaliwa hizo nafasi wameachwa..huoni km chadema chupi inahusika?!!!!Wewe bongo yako hamna kitu kabisa. Unafikiri hayo ya ngono na mambo mengine hayapo kwa CCM?
Yaani watu wengine mnatia aibu, kama hujui siasa kaa kimyaaa.
Fuatilia press ya Mnyika, maana yeye ndo haswa muhusika na amekana kupeleka majina. Sasa kwanini unapinga?Hakuna sehem yeyote ilighushiwa
Kwenye Ile form sehem ya kujaza katibu mkuu iko wazi
Sehem ya hakimu, na mteuliwa wote zimejazwa so hakuna kughushi kwa Aina yoyote
This theory is obsolete! Nyerere did not think of Tanzania ending in a dictator regime
Mnyika ameambiwa awaite wale kina mama wakaongee mambo yawe poa maana bila ruzuku hakuna chamaChadema imewakana wabunge viti maalum na itakaa nao kisha kutoa uamuzi, sasa endapo itawafukuza uanachama na watajiunga na CCM, CCM na NEC itawatambua kuwa ni wabunge wa Chadema kutokea CCM kama walivyofanya kwa Mwambe? Ni muda tu utajibu.
Mdee anajua janjajanja ya mnyikaAmini alichosema mdee usiamini maigizo ya mnyika!
Ama hao wabunge wanafukuzwa chama au Mnyika anachia ngaziFuatilia press ya Mnyika, maana yeye ndo haswa muhusika na amekana kupeleka majina. Sasa kwanini unapinga?
Majina yaliishapelekwa na CHADEMA kiofisi na muhuri wa chama juu. Kinachofanyika sasa ni kupooza munkari lakini katika hili uongozi wote wa CDM wako pamoja.Ni swali la msingi kuwa iwapo chadema wataamua kufuata taratibu na kuwaandikia NEC majina ya wabunge wa viti maalumu na ku-prove wrong hiyo wanayoiita fake ya kina mdee itakuwaje ?
Naona badala ya kupiga ramli tu kwenye media waende mbele kabisa wateuwe wapya na waweke majina kwenye media kuonesha kuwa ile haikuwa list yao?
USSR
Mdee anajua janjajanja ya mnyika
Chadema imewakana wabunge viti maalum na itakaa nao kisha kutoa uamuzi, sasa endapo itawafukuza uanachama na watajiunga na CCM, CCM na NEC itawatambua kuwa ni wabunge wa Chadema kutokea CCM kama walivyofanya kwa Mwambe? Ni muda tu utajibu.
Umenena vyema kabisa.Suala kubwa kama hili kumuachia katibu aongee ni usanii wa Mbowe. Hili ni suala la Mwenyekiti sio katibu.
Mwaka huu aligombea jibo na kiti maalumu?Chadema ni chama kidogo ndio maana 2015 Esther Bulaya aligombea viti maalumu na jimbo na akashinda kote akaamua kuwakilisha jimbo!
Chadema ni chama sio lazima iwe Chadema lakini watanzania waliowengi wamechoka kua chini ya diktetaMapambano yenyewe mtapambana kwa kutumia chadema hiihii?