Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Ccm wanaangaika bure na Mambo ambayo siyo muhimu kwa wananchi tuliowachagua. Leo wamekuwa na wema gan kwa cdm wanawake? Kuna wakati huwa naamini ccm hatujui tunataka nn
 
Amini alichosema mdee usiamini maigizo ya mnyika!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niko natafakari nukuu mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Nadhani tangu asubuhi ya leo wanachadema wanakiri kwamba Chadema siyo baba wala mama yao.

Karibuni nyote CCM ili kwa pamoja tujenge taifa letu.

Maendeleo hayana vyama!
This theory is obsolete! Nyerere did not think of Tanzania ending in a dictator regime
 
Sijaona kwenye amiri za Mungu, inayosema 'usiasi' wala 'usisaliti', lakini kuna amri ya Mungu inayosema 'Usiseme UONGO'.

Kuna maana kubwa sana Mungu kutokataza Uasi na Usaliti, kimsingi kabisa maendeleo yote ya mwanadamu yametokana na 'Uasi na Usaliti'. Kuna wengine tulizaliwa familia masikini na wazazi wasio na elimu, lakini tuliasi na kusaliti historia yetu ya umasikini na kukosa elimu, matokeo yake tumepata maisha bora na maarifa. Isingalikuwa 'uasi na usaliti' wengi tungalikuwa tunaishi maisha yale yale waliokuwa wanaishi wazazi wetu.

Isingalikuwa 'Uasi na Usaliti', dunia leo hii ingekuwa na mfumo mmoja wa kufikiri, kwa sababu watu wangeridhika na aina moja ya mawazo. Lakini sivyo, 'Uasi na usaliti' umefanya dunia imekuwa na aina tofauti za mifumo ya kiuchumi, dini za aina tofauti, lugha za aina tofauti, siasa za mirengo tofauti, na mambo mengine mengi ambayo yanafanya dunia yetu iendelee kuwa ya tofauti na yenye kupiga hatua.

Mpaka hapo, tunaona 'Uasi na Usaliti' umewekwa makusudi na Mungu, ili kuleta mabadiliko ya maisha ya mwanadamu katika ulimwengu huu.

Lakini Mungu, kutukataza 'Kusema Uongo' alikuwa na somo kubwa sana kwamba wanadamu, kwamba tufanye 'Uasi na Usaliti' kwa haki, kwa ukweli na kwa uwazi. Kamwe tusitumie njia za hila, hila ni ulimwengu wa shetani. Na palipo na hila kuna utitiri wa dhambi; rushwa, kusema uongo, mauaji na madhila mengine mabovu.

Hila imetajwa sana kwenye vitabu vya Mungu, ikipigilia msumari ni kitu kisichokuwa na baraka ya kimungu.

"Kwa sababu tunaweza kudanganywa kwa urahisi na mbinu zenye hila za Shetani, ambaye ni fundi katika kufanya mambo yasiyofaa yapendeze, kama alivyofanya alipokuwa akimshawishi Hawa.—2 Wakorintho 11:14; 1 Timotheo 2:14"

"(Ufunuo 12:12) Tusipokuwa waangalifu, propaganda zenye hila za Shetani na watu “wanaodanganya akili” ambao wanatumiwa na Shetani wanaweza kupotosha fikira zetu na kutushawishi tutumbukie katika dhambi.—Tito 1:10. "

"(Ayubu 42:12) Huenda watu wanaotenda kwa hila wakafikiri kwamba wanajinufaisha kwa hasara ya mtu mwingine na hata huenda wakaonekana kuwa wamefanikiwa kwa muda. "

Kwisha kusema hayo, kosa la Halima Mdee na wenzake ni 'Kufanya Uasi na usaliti kwa mbinu za Hila'. Uasi wao hauna baraka za kiMungu kwa sababu, Mungu ametuambia tufanye 'Uasi na Usaliti' tukiwa wakweli kwetu na wanaotuzunguka na kwa njia ya uwazi. Usaliti wao na Uasi umeongozwa na hila za Ibilisi, na kwasababu Mungu amekataa hila, sioni matokeo mazuri ya Uasi na usaliti wa Halima Mdee na wenzake.

Mkereketwa wa nchi ya chama kimoja
N. Mushi
 
Sijaona kwenye amiri za Mungu, inayosema 'usiasi' wala 'usisaliti', lakini kuna amri ya Mungu inayosema 'Usiseme UONGO'...
Hakuna sehem yeyote ilighushiwa
Kwenye Ile form sehem ya kujaza katibu mkuu iko wazi

Sehem ya hakimu, na mteuliwa wote zimejazwa so hakuna kughushi kwa Aina yoyote
 
we
Wewe bongo yako hamna kitu kabisa. Unafikiri hayo ya ngono na mambo mengine hayapo kwa CCM?
Yaani watu wengine mnatia aibu, kama hujui siasa kaa kimyaaa.
We unajua siasa? nyau we, ndani ya ccm hakuna mambo ya ngono kwani ni chama kikubwa chenye wanachama wengi na utaratibu unaofahamika wazi wa kuwapata viongozi, sio km chadema ambakomifumoyake haieleweki wazi. leo hii watu waliokua wanagombea ubunge kwenye majimbo ndio wamepewa viti maalumu na walioandaliwa hizo nafasi wameachwa..huoni km chadema chupi inahusika?!!!!
 
Hakuna sehem yeyote ilighushiwa
Kwenye Ile form sehem ya kujaza katibu mkuu iko wazi

Sehem ya hakimu, na mteuliwa wote zimejazwa so hakuna kughushi kwa Aina yoyote
Fuatilia press ya Mnyika, maana yeye ndo haswa muhusika na amekana kupeleka majina. Sasa kwanini unapinga?
 
This theory is obsolete! Nyerere did not think of Tanzania ending in a dictator regime

mkuu vipi umeelewa picha linavyoenda au bado unashangaa shangaa tu??[emoji16][emoji16][emoji16]

embu hangaikeni na swala la the hague,haya mambo ya chama mnajipa vidonda vya tumbo bure tu.
 
Nyerere ana mazuri mengi kaifanyia Tz, lkn huyu mzee alikuwa mnafiki na mbinafsi sana,
 
Chadema imewakana wabunge viti maalum na itakaa nao kisha kutoa uamuzi, sasa endapo itawafukuza uanachama na watajiunga na CCM, CCM na NEC itawatambua kuwa ni wabunge wa Chadema kutokea CCM kama walivyofanya kwa Mwambe? Ni muda tu utajibu.
Mnyika ameambiwa awaite wale kina mama wakaongee mambo yawe poa maana bila ruzuku hakuna chama
 
Majina yaliishapelekwa na CHADEMA kiofisi na muhuri wa chama juu. Kinachofanyika sasa ni kupooza munkari lakini katika hili uongozi wote wa CDM wako pamoja.
 
Mazingaombwe tu unawezeje kumkana mkeo!
Chadema imewakana wabunge viti maalum na itakaa nao kisha kutoa uamuzi, sasa endapo itawafukuza uanachama na watajiunga na CCM, CCM na NEC itawatambua kuwa ni wabunge wa Chadema kutokea CCM kama walivyofanya kwa Mwambe? Ni muda tu utajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…