Yy alidaligate kwa Mdee na mdee akampa msaidizi wake kwa Ile list ya kwanza sio hii ya juziFuatilia press ya Mnyika, maana yeye ndo haswa muhusika na amekana kupeleka majina. Sasa kwanini unapinga?
Mtapambana kwa chama kipi?Chadema ni chama sio lazima iwe Chadema lakini watanzania waliowengi wamechoka kua chini ya dikteta
Ambaye anaongiza nchi kumabavu
Tanzania haiujawahi kua na Hali mbaya kidemokrasia Hivi
Vipi yule aliyekuwa magereza,?? Alijaza lini form?? Alithibitishwa lini na mahakama??Majina yaliishapelekwa na CHADEMA kiofisi na muhuri wa chama juu. Kinachofanyika sasa ni kupooza munkari lakini katika hili uongozi wote wa CDM wako pamoja.
ni maoni yako lakin na kiukweli unayo haki ya kutoa maoni mkuu na hili ndilo wananchi tunalitafuta kupitia chadema na upinzani kiujumla, kwamba badala ya hii unayofanya ya kutoa maoni kwa kujificha huku jf wananchi tuwe huru kutoa maoni yetu hadharani bila uoga wa kuumizwa kwa namna yoyote na dola.Ndugu yangu tumia akili angalau kidogo...jifunze kupambanua mambo...usikariri tu mambo...kwa mawazo yako serikali imefoji...hivi Mdee na wenzake wanaweza kukubali serikali ifoji halafu wao waapishwe?!? Kama ni kufoji kwanini usifikirie kuwa pengine baadhi ndani ya Chadema wamefoji saini za kiongozi wao na kuwasilisha majina bungeni?...
Uliskiiliza hotuba ya Mdee?Vipi yule aliyekuwa magereza,?? Alijaza lini form?? Alithibitishwa lini na mahakama??
chama cha siasa kikubwa Tanzania kwa sasa ni chadema kikifuatiwa kwa mbaaaali na ACT. CCM siyo chama cha Siasa na kimsingi CCM haipo hai, kilishajifia...kinachoonekana ni dola imejivisha koti la kijani.Mtapambana kwa chama kipi?
Ila chadema chenyewe kipo hai??chama cha siasa kikubwa Tanzania kwa sasa ni chadema kikifuatiwa kwa mbaaaali na ACT. CCM siyo chama cha Siasa na kimsingi CCM haipo hai, kilishajifia...kinachoonekana ni dola imejivisha koti la kijani.
fikiria miaka mitano cdm haikuruhusiwa kufanya siasa, ccm wakajimwaga wawezavyo lakin kuanzia kampeni hadi uchaguz wenyewe umma tunajua nani alishinda.
KOSA LA KUGHUSHI NA ADHABU YAKEUliskiiliza hotuba ya Mdee?
Usilaumu ulipoangukia laumu ulipojikwaa.
Kwani mtu akiwa gerezani inakatazwa kumtembelea? Kama wakili wake anataka kumuona inakatazwa?
Jifunze kuchekecha mambo sio kuamini kama dini. Uliona wapi Mwenyekiti wa chama anaweza kuwa na Katibu mkuu asiyemtii? Mbowe na Mnyika wote lao moja na wametoa baraka ndio maana barua rasmi ilipelekwa tume ikiwa imesainiwa na kugongwa muhuri.
Sio lazima chamaMtapambana kwa chama kipi?
Yote haya yanayoendelea ndani ya CHADEMA ni siasa chafu za magufuli hivyo wanahitaji kuwa watulivu kupita kiasi ...lengo la magufuli ni kuwachanganya watimuane , huku akijua chadema wana nguvu kubwa ya wanawake ...lakiini pia lengo la magufuli ni kuhadaaa wafadhili ili waonekane upinzani upoChadema ni chama sio lazima iwe Chadema lakini watanzania waliowengi wamechoka kua chini ya dikteta
Ambaye anaongiza nchi kumabavu
Tanzania haiujawahi kua na Hali mbaya kidemokrasia Hivi
Kwahiyo mahera naye alituongopea??Uliskiiliza hotuba ya Mdee?
Usilaumu ulipoangukia laumu ulipojikwaa.
Kwani mtu akiwa gerezani inakatazwa kumtembelea? Kama wakili wake anataka kumuona inakatazwa?
Jifunze kuchekecha mambo sio kuamini kama dini. Uliona wapi Mwenyekiti wa chama anaweza kuwa na Katibu mkuu asiyemtii? Mbowe na Mnyika wote lao moja na wametoa baraka ndio maana barua rasmi ilipelekwa tume ikiwa imesainiwa na kugongwa muhuri.
KOSA LA KUGHUSHI NA ADHABU YAKE
Kanuni ya Adhabu kifungu cha 333 kinaeleza nini maana ya kughushi ikiwa ni ni kutengeneza nyaraka ya uwongo kwa nia ya kudanganya au kuhadaa.
Kanuni ya Adhabu kifungu cha 335 kinaeleza kuwa. Mtu yeyote anayetengeneza nyaraka ya uwongo ambaye–
(a) anafanya nyaraka ambayo ni ya uwongo au ambayo ana sababu ya kuamini kuwa si ya kweli;
(b) anabadili nyaraka bila ya mamlaka kwa namna ambayo iwapo kubadili huko kungekuwa na mamlaka kungebadili matokeo ya nyaraka hiyo;
(c) anaingiza katika nyaraka hiyo bila ya mamlaka , wakati nyaraka hiyo inaandikwa, jambo ambalo kama lingeruhusiwa lingebadilisha matokeo ya nyaraka hiyo;
(d) anatia sahihi nyaraka –
(i) kwa jina la mtu yeyote bila ya ruhusa ya mtu huyo, liwe jina hilo ni la yule anayetia sahihi hiyo au silo; (ii) kwa jina la mtu yeyote wa kubuniwa ambaye anadhaniwa kwamba yupo, iwe mtu wa kubuniwa huyo anadhaniwa kwamba ni wa jina sawa na aliyetia sahihi hiyo au sivyo; (iii) kwa jina linalofanywa liwe jina la asiyekuwa yule mwenyewe kutia sahihi nyaraka hiyo, na ambalo linakusudiwa likosewe kwa jina la huyo anayetia sahihi; (iv) kwa jina la mtu ambaye mwenye kutia sahihi nyaraka hiyo anajifanya ni yeye isipokuwa kwamba matokeo ya nyaraka hiyo inategemea utambulisho kati ya mtu anayetia sahihi na mtu aliyekubali ni yeye.
Kanuni ya Adhabu kifungu cha 336. Nia ya kudanganya inadhaniwa kuwepo iwapo inaonekana kwamba wakati ambao nyaraka ya uwongo inatengenezwa kulikuwepo na mtu mahasusi anayejulikana au asiyejulikana ambaye anaweza kudanganywa, na kudhaniwa huko hakutakanushwa kwa uthibitisho kwamba mkosaji huyo alichukuwa au alikusudia kuchukua hatua za kuzuia mtu huyo asidanganywe, wala kwa kuwa alikuwa na haki au alidhani kwamba alikuwa na haki ya hicho kitu ambacho kitapatikana kwa nyaraka hiyo ya uwongo.
ADHABU YA KUGHUSHI NYARAKA
kulingana na kanuni ya Adhabu, adhabu yake ni kifungo cha miaka 7
Wajinga ndio waliwao.Kwahiyo mahera naye alituongopea??
Sina nia ya kuwatetea CHADEMA, wala sitaki kupinga kwamba Mnyika na Mbowe lao moja, ila tusitumie njia haramu kuhalalisha vya haramu viwe haki/sawa. Kama NEC, mahakama na spika wametumika tuseme na tusikubali kufata unachotaka wewe; kukaa kimya kuhalalisha uovu..Wajinga ndio waliwao.
Hivi Bernard Membe huko CCM mlipomfukuza uanachama eti kwa kuwa alitangaza "NIA" kuomba ridhaa ya chama kugombea Urais haukuwa anatimiza wajibu wake wa kikatiba?..Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao....
Anazungumzia ule wa wabunge 19 na viongozi wa chama sio hiyo Press Conference ya leo mbatizaji.Huu ni mkutano na waandishi wa habari bwashee!