Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Na hili ndio iliwapa heshima..... Kma Zitto na Kitila walitumiliwa je nani mwingine anafikia hadhi yao hadi avumiliwe.Wanachadema wanasubiri jambo moja tu hapa...FUKUZA!
Wawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa maana haiingii akilini kuwa wanachama 19, tena viongozi, wagushi uteuzi kisha waende kuapa?Hii ni habari njema, kwa vile hakuna kikao chochote cha dharura cha Kamati Kuu, then kesho CC itakaa kati ya leo na kesho, hiyo keshokutwa ni kukabidhiwa barua zao za mashitaka mchakato wa nidhamu uanze. At least now Chadema wame grow up, wanafanya mambo yao kiutu uzima, kwa heshima, staha na kuzingatia taratibu na kanuni.
Big up Chadema.
P
Sasa hili ndio la kuitisha press conference?HABARI: Tumeitisha kikao cha kamati kuu Ijumaa 27 Novemba 2020, Dar es Salaam na tutawaandikia wahusika ili kisitokee kisingizio hakupata taarifa, natangaza wito kwa wanachama wetu 19 walioshiriki kuapishwa kufika makao makuu Kinondoni Ijumaa saa 2:00 asubuhi – John Mnyika https://t.co/yy9D1NGNpB
HABARI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilituandikia barua 10 Novemba 2020 kutueleza haijapokea majina ya wabunge wa viti maalum na kutuomba kuyawasilisha ikiwemo fomu namba 8D inayopaswa kuwa na ithini ya katibu mkuu wa chama na mimi sijajaza yoyote – John Mnyika https://t.co/j8lQozo0JO
HABARI: Chama hiki kitaendelea na kitapita salama. Kitaendelea kujipanga kwenda kushika dola. Chadema kimekuwa kikiwaita viongozi wakubwa, kuhojiwa na kuchukuliwa hatua na bado kikavuka salama- John Mnyika, Katibu Mkuu Chadema https://t.co/uOZgGhIVP0
Hii ni habari njema, kwa vile hakuna kikao chochote cha dharura cha Kamati Kuu, then kesho CC itakaa kati ya leo na kesho, hiyo keshokutwa ni kukabidhiwa barua zao za mashitaka mchakato wa nidhamu uanze. At least now Chadema wame grow up, wanafanya mambo yao kiutu uzima, kwa heshima, staha na kuzingatia taratibu na kanuni.
Big up Chadema.
P
Katibu mkuu amekosa uzalendo. Kususa kwa Katibu Mkuu hakutakiwi kuwaumize wakinamama.Anatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.
Ndio wawe wabunge wa mahakama..Chadema hawana shida na hilo kama Zitto Kabwe alivyofukuzwaChama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
katiba inasema huyo mbunge anapatikanaje. mbona unajitia wazimuChama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Mnapofanya maamuzi yenu ya ndani huko CCM hakuna anae waingilia.Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
Chadema haina hoja ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kuzuia wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
hata mbowe kakimbia hiyo press conference huoni kuna kitu anaficha?Wawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa maana haiingii akilini kuwa wanachama 19, tena viongozi, wagushi uteuzi kisha waende kuapa?
Kauli ya Mtu aliyeshiba busara, safi Mnyika. Wasijesema hawakusikilizwa.Katibu Mkuu wa CHADEMA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchakato wa wabunge wa Viti Maalum ambao wameapisha siku ya jana tarehe Novemba 24, 2020.
Tumewaita kuwaeleza kwamba CHADEMA hakijateua wabunge wa viti maalum wala hakijawasilisha orodha yoyote Tume ya Uchaguzi ya uteuzi wa wabunge wa viti maalum
Mimi kama Katibu Mkuu wa Chama sikuwahi kujaza fomu yoyote, kumthibitisha mtu yeyote mahali popote, kilichofanyika ni biashara haramu ya kugushi iliyohusisha mfumo wa kiserikali.
Mawasiliano yangu ya mwisho na Tume ya Uchaguzi zilikuwa ni barua 2, Nov 9 , niliiandika baada ya Mkurugenzi wa NEC kunukuliwa na vyombo vya habari kwamba CHADEMA imewasilisha orodha ya wabunge wa viti maalum na yeye amekwishaipeleka bungen
Kwa katiba ya CHADEMA mamlaka ya uteuzi wa wabunge yako kwa kamati kuu ya chama, na kamati kuu ya chama haijawahi kufanya kikao cha uteuzi wa majina ya wabunge wa viti maalum na mimi Katibu Mkuu sijawahi kuwasilisha orodha yoyote
Katibu Mkuu, John Mnyika amewataka wabunge wote walioapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kufika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama siku ya Novemba 27, saa mbili asubuhi bila kukosa kwa ajili ya utaratibu mwingine.
Mwanachama wetu aliyekuwa na kesi ya jinai ya kubambikiwa kwa muda mrefu Nusrat Hanje alitolewa gerezani tarehe 23 Novemba na mfumo ili watimize adhma yao.
Katibu Mkuu amesema kwamba wabunge wote walioapishwa Novemba 24 wamewekwa na mfumo na hawana baraka za chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kauli iliyotolewa jana na kumhusisha Mwenyekiti, Freeman Mbowe haina ukweli. Mbowe ataongoza kamati kuu na itawasikiliza wahusika. Kati ya walioapishwa kuna wajumbe wa kamati kuu wanafahamu uteuzi haukufanyika na wanajua wameshiriki biashara haramu
umepanic mheshimiwa mbungeSasa hili ndio la kuitisha press conference?
Thubutuuuuuu, nani mwenye ubavu wa kumgusa Mbowe??Nataka kisikia maneno mawili,,,,wamefutwa uanachama