Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Drama inaendelea tunangojea second episode..
 
Anatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.
 
Wanachadema wanasubiri jambo moja tu hapa...FUKUZA!
Na hili ndio iliwapa heshima..... Kma Zitto na Kitila walitumiliwa je nani mwingine anafikia hadhi yao hadi avumiliwe.

Tuanze upya tu lakini option ni either wajiuzulu au watimuliwe. Watarudisha imani ya wananchi otherwise watajizika rasmi.
 
Waroho wa madaraka walijipeleka wenyewe bungeni!
Wachinjieni baharini
Nalog off
 
Wawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa maana haiingii akilini kuwa wanachama 19, tena viongozi, wagushi uteuzi kisha waende kuapa?
 
Wasipowafukuza hatutawaelewa! Tutajua Hakuna mtu ana mda na wa Tanzania ni watu wanaopambania ajira tu!
 
Wacha tuendelee kunywa mtori nyama tutakutana nayo chini
 
Sasa hili ndio la kuitisha press conference?
 
Natural justice
 
wandishi anauliza swali la msingi sana,safi. Katibu naye anapangua hoja kisomi. Hao wanaopiga makofi ni waandishi au wanachama? heeee heeee.
Mnyika is so smart and brainy anawauliza waandishi kwa nini mpaka sasa hawajamuuliza Mahera fomu imejazwa na nani?
 
Katibu mkuu amekosa uzalendo. Kususa kwa Katibu Mkuu hakutakiwi kuwaumize wakinamama.
 
Naona muendelezo sio mbaya. Consequently hawa wasaliti ni lazima wafukuzwe uanachama
 
Ndio wawe wabunge wa mahakama..Chadema hawana shida na hilo kama Zitto Kabwe alivyofukuzwa
 
katiba inasema huyo mbunge anapatikanaje. mbona unajitia wazimu
 
Mnapofanya maamuzi yenu ya ndani huko CCM hakuna anae waingilia.
 
Kauli ya Mtu aliyeshiba busara, safi Mnyika. Wasijesema hawakusikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…